Kifo cha wafanyakazi Azam na Imani za Kishirikina (Utoaji Kafara)

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
Hili neno nmeshangaa sana kulikuta linajadiliwa kwa umakini kabisa watu wakiwa serious.kuwa wafanyakazi hawa wametolewa kafara.

Hii imani imekuwepo sana kwa watu wanaofanya kazi sehemu za wahindi na waarabu. Sifahamu chimbuko lake ni nini. Lakini nakemea hii tabia si nzuri wananzengo.

Jamaa wamefariki kwa ajali. Full stop. Hayo mengine hakuna anayejua. Natoa wito msiendekeze tabia za kishirkina hazijengi.

Huu ni wakati wa kuwafariji ndugu jamaa na marafiki. Nakemea kwa sauti kali kabisa imani ya kuwa wametolewa kafara
 
Mkuu lisemwalo lipo hii ni dunia na si mbinguni dunia ina mambo mengi sana nina jamaa yangu mmoja ana ushuhuda kabisa alikuwa anafanya kazi kwa wahindi lakini kilichomkuta huko hana amu alikimbia nduki na kuacha kazi hawa jamaa ni hatari
 
Wapo wanaoamini usiwazuie
 
Ebu taratibu kwanza mkuu.....
Umekuta hii inajadiliwa wapi?
Umekuta inajadiliwa na akina nani?
Umekuta inajadiliwa lini na saa ngapi?

Usipo yajibu hayo maswali, basi na wewe utakuwa ni mmoja wa wenye nia ya kuendeleza mjadala huu wa kuhusu ushirikina ama basi itakuwa ni habari ya umbeya ili usikie wachangiaji wanasema nini
 
Hili neno nmeshangaa sana kulikuta linajadiliwa kwa umakini kabisa watu wakiwa serious.kuwa wafanyakazi hawa wametolewa kafara.

Hii imani imekuwepo sana kwa watu wanaofanya kazi sehemu za wahindi na waarabu. Sifahamu chimbuko lake ni nini. Lakini nakemea hii tabia si nzuri wananzengo.

Jamaa wamefariki kwa ajali. Full stop. Hayo mengine hakuna anayejua. Natoa wito msiendekeze tabia za kishirkina hazijengi.

Huu ni wakati wa kuwafariji ndugu jamaa na marafiki. Nakemea kwa sauti kali kabisa imani ya kuwa wametolewa kafara
Maneno ya Mungu yanasema ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuurithi ufalme wa mbinguni.. (Ngamia sio mnyama ni lile kamba kubwa la kushikilia chombo kinapoweka nanga ufukweni ama baharini)
Mbele ya nuru ya mafanikio ya matajiri nyuma yake kuna giza lililojaa udhalimu tupu.....
Ngazi za kuwafikisha watu wengi kwenye kilele cha mafanikio ya kibiashara zimeshikiliwa na mafuvu na mifupa ya wahanga wengi sana!
 
Yaaan tena bakharesa.....maneno yapo mengi sana mtaani...ngoja tuone matokeo
 
Tupe kisa na mkasa ndugu yangu.

Mkuu lisemwalo lipo hii ni dunia na si mbinguni dunia ina mambo mengi sana nina jamaa yangu mmoja ana ushuhuda kabisa alikuwa anafanya kazi kwa wahindi lakini kilichomkuta huko hana amu alikimbia nduki na kuacha kazi hawa jamaa ni hatari
 
Ebu taratibu kwanza mkuu.....
Umekuta hii inajadiliwa wapi?
Umekuta inajadiliwa na akina nani?
Umekuta inajadiliwa lini na saa ngapi?

Usipo yajibu hayo maswali, basi na wewe utakuwa ni mmoja wa wenye nia ya kuendeleza muadala huu wa kuhusu ushirikina ama basi utakuwa ni habari ta umbeya ili usikie wachangiaji wanasema nini
 
  • Thanks
Reactions: uth
Madai hayo yanapewa nguvu na matukio yafuatayo
Mwaka juzi alifariki cameraman wa Azamtv attached to Zbc2,kwa ajali ya pikipiki,boda boda kapona.
Mwaka jana,alifariki cameraman/producer azam tv,kapiga vx kafa yeye tu mkewe kapona
Inna lillahi wa inna ilayhi raajiun
 
Maneno ya Mungu yanasema ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuurithi ufalme wa mbinguni.. (Ngamia sio mnyama ni lile kamba kubwa la kushikilia chombo kinapoweka nanga ufukweni ama baharini)
Mbele ya nuru ya mafanikio ya matajiri nyuma yake kuna giza lililojaa udhalimu tupu.....
Ngazi za kuwafikisha watu wengi kwenye kilele cha mafanikio ya kibiashara zimeshikiliwa na mafuvu na mifupa ya wahanga wengi sana!
Mshana ×3 nimekuita mara tatu! Usipotoshe watu!maana umezungumza kimafumbo kanakwamba ukihojiwa utasema hujamkusudia mlengwa!tabia ya ushirikina hata maskini pia wanaitenda!
 
Aisee!
Madai hayo yanapewa nguvu na matukio yafuatayo
Mwaka juzi alifariki cameraman wa Azamtv attached to Zbc2,kwa ajali ya pikipiki,boda boda kapona.
Mwaka jana,alifariki cameraman/producer azam tv,kapiga vx kafa yeye tu mkewe kapona
Inna lillahi wa inna ilayhi raajiun
 
Maneno ya Mungu yanasema ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuurithi ufalme wa mbinguni.. (Ngamia sio mnyama ni lile kamba kubwa la kushikilia chombo kinapoweka nanga ufukweni ama baharini)
Mbele ya nuru ya mafanikio ya matajiri nyuma yake kuna giza lililojaa udhalimu tupu.....
Ngazi za kuwafikisha watu wengi kwenye kilele cha mafanikio ya kibiashara zimeshikiliwa na mafuvu na mifupa ya wahanga wengi sana!
Ubaya Haikutajwa ni kiwango kipi cha mali ndio utajiri.Maana anayepata 10000 kwa siku atakuwa tajiri mbele ya anayepata 1000 kwa siku. Na huyu wa 1000 atakuwa tajiri kwa wale wa chini ya hapo. Kwa maana hii Hapa wengi sana hatutauona ufalme wa mbingu
 
Back
Top Bottom