Kwanini katika Ajali zote zilizowahi kutokea Tanzania tokea Uhuru ni hii tu ya Staff wa Azam ndiyo Police Tanzania wanahangaika nayo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,341
2,000
" Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani wakiongozwa na Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani SACP Fortunatus Muslimu wametembelea eneo la Kizonzo ilipotokea ajali iliyoua watu saba wakiwemo wafanyakazi watano wa Azam Media Julai 8, 2019. Kamanda Muslimu amesema uchunguzi wa ajali hiyo unaendelea na amewaomba wananchi kuwa na subira "

Nina yangu ya Moyoni baada ya Kuuona huu Unafiki uliopitiliza wa Jeshi la Police hasa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini hasa katika Tukio zima la hii Ajali iliyouwa Wafanyakazi wa Kampuni ya Azam ila Kwanza nawaachieni nanyi pia mtoe yenu ( hasa Kimtizamo ) ili nami hapo baadae naweza nikafunguka zaidi kwani kuna Binadamu wengine tumeumbwa Kutokupenda Unafiki na Udanganyifu katika Masuala mbalimbali.

Karibuni.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom