Tusiendelee kupiga kelele kuhusu Chatto!

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,659
Reaction score
33,669
Hello JF,

Sijui kwa nini naamini mkuu wetu ameamua ku act Childish!, Inavyoonekana baada ya zile projects za mwanzo kupigiwa kelele,kumemfanya mkuu wetu awe REBELLIOUS kama jinsi teenagers wanavyokuwaga rebellious,ukimkataza asifanye hiki ndio kwanza anafanya....sijui stratergies za ku deal na mtu kama huyu..but i think tuanze kumuignore, hata akifanya nini huko Chatto tusipige kelele. Badala ya topic za kulalamika kuhusu Chatto tuandike jinsi watanzania wenzetu wangefaidika kwa kufanyiwa hiki au kile,this might compel him to shift from being resistant person to be co operative person....

Karibuni,tujadili jinsi ya ku deal na Rebellious president!
 
Mara yangu ya kwanza kusikia mtu anatunukiwa PhD baada ya kukamua Korosho hadi mafuta kutoka
 
Mi binafsi nilishamsahau tuvumilie amalize muda wake asepe huwez kumbadilisha mtu wa namna hii njia bora ya kudeal na watu kama hawa ni kujifanya unamkubali unampenda ila moyoni unafanya yako. kikubwa ni kuomba ajaye asiwe siambiliki kama huyu.
 
Mbona Dar kuna miradi mingi sana karibu kila kitu kipo huko na mikoa ya kazkazini imeendelea kwa kupewa kipaumbele acha na mikoa ya kanda ya ziwa nayo angalau ipate keki ya taifa...Watu wa kazkazini punguzeni kulalamika kila kitu mnapenda kiwe kwenu

sio kwa sababu kuna miradi inaendelea miji mingine,then mikoa mingine ipendelewe waziwazi,im sure angeweza kugawanya evenly hizo resources na sehemu/miji yote ikafaidika...
 
Hello JF,

Sijui kwa nini naamini mkuu wetu ameamua ku act Childish!, Inavyoonekana baada ya zile projects za mwanzo kupigiwa kelele,kumemfanya mkuu wetu awe REBELLIOUS kama jinsi teenagers wanavyokuwaga rebellious,ukimkataza asifanye hiki ndio kwanza anafanya....sijui stratergies za ku deal na mtu kama huyu..but i think tuanze kumuignore, hata akifanya nini huko Chatto tusipige kelele. Badala ya topic za kulalamika kuhusu Chatto tuandike jinsi watanzania wenzetu wangefaidika kwa kufanyiwa hiki au kile,this might compel him to shift from being resistant person to be co operative person....

Karibuni,tujadili jinsi ya ku deal na Rebellious president!
Ajenda yenu ni nini kwa waanchi uchaguzi ujao? Ndio tunataka kusikia sio hoj za kuwaonea wivu watanzania wanaoishi chato.
Nyie ndio mlikuwa mstari w mbele kuwa mkapa ni *&^/$#@¥£€ sababu hakuendeleza kwao.
 
Mbona Dar kuna miradi mingi sana karibu kila kitu kipo huko na mikoa ya kazkazini imeendelea kwa kupewa kipaumbele acha na mikoa ya kanda ya ziwa nayo angalau ipate keki ya taifa...Watu wa kazkazini punguzeni kulalamika kila kitu mnapenda kiwe kwenu
Hivi kila anayelalamika ni mtu wa Kaskazini? Mtwara, Lindi, Singida, Ruvuma, Njombe, Mbeya, Katavi, Ruvuma, Tabora hamna wanaolalamika?
 
Mara yangu ya kwanza kusikia mtu anatunukiwa PhD baada ya kukamua Korosho hadi mafuta kutoka
Ona sasa! Unataka magufuli abadirike kweli kwa coment ya kipumbavu kama hii?

Nina uhakika yeye mwenyewe kashaona wanaopiga kelele wenyewe ni matahira tu
 
sio kwa sababu kuna miradi inaendelea miji mingine,then mikoa mingine ipendelewe waziwazi,im sure angeweza kugawanya evenly hizo resources na sehemu/miji yote ikafaidika...
Kwa mujibu wa report ya utafiti wa umasikini mikoa ya kanda ya ziwa haipo vizuri kiuchumi lazima papelekwe fungu kuwa inua
 
Ajenda yenu ni nini kwa waanchi uchaguzi ujao? Ndio tunataka kusikia sio hoj za kuwaonea wivu watanzania wanaoishi chato.
Nyie ndio mlikuwa mstari w mbele kuwa mkapa ni *&^/$#@¥£€ sababu hakuendeleza kwao.

Kuna watanzania Chatto,but kuna watanzania pia Rufiji,Mtwara,etc..

Ni sawa Rais ajae atoke umasaini halafu all resources apeleke huko umasaini??? mkuu pinga huu ujinga ,una lengo la kutu divide
 
Hivi kila anayelalamika ni mtu wa Kaskazini? Mtwara, Lindi, Ruvuma, Njombe, Mbeya, Katavi, Ruvuma, Tabora hamna wanaolalamika?
Nakwambia hivi! Sijawahi kuina mtu wa mkoa mwingine analalamika upendeleo wa Magufuli zaidi ya wachaga.

Yani unakuta mchaga msomi kabisa lkn kakomaa anasema Magufuli ni mkabila.
 
Kuna watanzania Chatto,but kuna watanzania pia Rufiji,Mtwara,etc..

Ni sawa Rais ajae atoke umasaini halafu all resources apeleke huko umasaini??? mkuu pinga huu ujinga ,una lengo la kutu divide
Kwa hiyo ukitaka mikoa yote ijengewe viwanja vya ndege kwa wakati mmoja
 
Back
Top Bottom