Kumbe AZAM hakuna UDINI wowote

dega

JF-Expert Member
Dec 18, 2012
3,138
3,042
Mara kadhaa maadui wa kibiasha wa ndugu SALIM SAID BAKHARESA walikua wakimtuhumu mfanya biashara huyu Mchamungu kwamba anaupendeleo wa kidini katika uajiri katika Makampuni yake

Ajali iliyotokea jana Singida ambayo iliwahusisha Wafanyakazi wa Azam imedhirisha kwamba hakuna upendeleo wakidini AZAM

Hii ni baada kushuhudia kwamba katika Wafanyakazi watano waliofariki katika ajali hiyo ni wawili tuu walikua ni Waislam
Salum Juma Khamis na Said Haji Hassan

Huu ni ushahidi kwamba HAKUN UPENDELEO WOWOTE WA KIDINI AZAM

POLENI AZAM
POLENI WAFIWA
POLENI WAANDISHI

INNA LILAHI WAINNA ILYHI RAJIOON
 
Neno udini ni dhana pana sana... Na huwezi kufikia conclusion kwa majina tuu bali kuna mengi ya kuangalia kama
Asili ya mmiliki
Body members
Top leaders
Important posts
Aina ya vipindi, taarifa na makala
Aina ya uendeshaji nknk

Lakini pia ni vema kutafakari sana hili neno UDINI... Ni nani alitulisha hii sumu ikatuingia na kutu brainwash kabisa?
 
Acheni hz hoja za kishamba. Angalieni mengine. Km wewe unasjondwa kidini Fanya mengine, yawezekana kabisa.
 
Udini upo ''kwenye content za vipindi vyao. .ambavyo kwa namna moja ndio vina athari kubwa sana Katika jamii (vina tazamwa na wengi )kuliko hao wafanyakazi ambao wapo nyuma ya camera na hakuna hata anaye wajua'' imagine ulikuwa haujui kuhusu Dini zao mpaka pale walipofikwa na mauti

Ila vipindi vyao vingi vimesheheni udini na Utamaduni wa nchi za mashariki ya kati. ..
 
Back
Top Bottom