kiu ya haki
Senior Member
- Jul 17, 2015
- 103
- 56
Wakuu kwa wale wazoefu hivi interview za ICT bussines analyst kwenye practical huwa wanauliza kwa kutumia document zipi .
Soma sehemu zote ulizofundishwa kwa maaana ndio mtaalamu bora.na mtaalamu akasoma akaiva muda huu Yuko anasaka nondo na sikuja tukutafunie humu tukutane JUMATATU katika chumba Cha interview nitakapo kuuliza swali moja tu ndio utajua kwann uko jfWakuu kwa wale wazoefu hivi interview za ICT bussines analyst kwenye practical huwa wanauliza kwa kutumia document zipi .