Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Aisee hawa jamaa wanaongea sana. Yaani kila stori utakayoianzisha yumo!!, Michezo, wamo! Yaani wanaweza kukuambia kwanini timu za kundi moja zimekutana fainali na nyingine ya kundi hilo imeshika...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Hawa voda ni wezi sana. Eti mara ghafla data ya 15000 kupata 10GB imegeuka 15000 unapata 2GB kwa siku saba. Nimechoka kabisa. Mbaya zaidi namba nyingine ni personnal kuwekewa vocha tu na ofisi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Drama zinaendelea.... Michezo ya kuigiza kila uchao tunaletewa ingizo jipya... Hatupewi nafasi ya kupumua wala kutafakari... Ni bandika bandua... Ni dozi juu ya dozi... Mwisho wa siku hatuna hoja...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
How I Ditched Debt: ‘I Just Pretended I Didn’t Have Money’ Bev O'Shea,NerdWallet 9 hours ago Sarah McGowan How much: $36,262 in 1 year 8 months When Sarah McGowan was 23...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Bado haijafahamika sababu rasmi za jambo hilo
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salaam wakuu?Kuna kipindi bosi wa watunga sheria alitufahamisha kwamba aliewakagua nae wamemkagua, na kutuahidi kwamba muda si mrefu mambo yake atayaweka hadharani, kwa maana hakuna...
1 Reactions
2 Replies
635 Views
Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro, linamshikilia mwanaume mmoja anayejulikana kwa jina la Yahya Idd mkazi wa Njoro kwa tuhuma za kubaka na kulawiti watoto 5, wanaosoma darasa la tatu katika shule...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
  • Closed
Ukishangaa ya Wakurya... Nchi ambayo ni hatari zaidi kuishi duniani (Kwa mwanamke tu?) Katika kila wanawake watatu wawili wameshafanyiwa unyama wa aina moja au nyingine. 70% ya wanawake...
10 Reactions
79 Replies
10K Views
Habari za wakti huu wadau; Kuna msomi mmoja kutoka edinburg aliwahi post hii link hapa chini akiomba msaada katika utafiti wake. Sasa sijajua labada ni swala la lugha au JF wasomi ni wachache au...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
KWA WAHUSIKA WOTE KUNA MAKABURI YAKO NJIA YA KUTOKEA RAINBOW KWENDA TANKIBOVU MAKABURI HAYA YAMEKUWA SASA N KERO MAJUZI N MARA YA NNE KUONA WANACHIMBA WANAKUTANA NA VIUNGO VYA WATU NA BADO MTU...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeisimamisha Kampuni ya Makumbusho Entertaintment pamoja na viongozi wake kujishughulisha na shughuli yoyote ya masuala ya sanaa na burudani. Taarifa hiyo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu naomba kujua ubora na bei ya device kama hii kwa hapa Tanzania.
0 Reactions
4 Replies
947 Views
Wadau Nataraji mumeamka salama na family zenu, Naombeni msaada wa kufahamu thamani na utaratibu wa kupata hati miliki ya ardhi,ardhi ambayo ni shamba la ukubwa wa heka tatu(3) Shukran sana Mbarikiwe
0 Reactions
6 Replies
706 Views
Hapa ni Mwanza South. Haya ni maandalizi kwa kasi ya ajabu ambapo meli huunganishwa (assemble). Inatengenezwa garage ya kisasa kwa ajili ta MV chato. Habari za chinichini ni kuwa inawezekana MV...
6 Reactions
28 Replies
5K Views
Kumekua na sinto fahamu kuhusu uyu bwana maagi mlaga binafsi hilo kabila (wajita)nalifahamu kutokana na kukaa karibu na hata kuhusiana biological . Simshangai sana maagi mlaga na kabila lake...
5 Reactions
46 Replies
5K Views
Kinababa mabaharia wasio huruma na subra. Imesemwa na afisalishe hukoo iringa
0 Reactions
15 Replies
2K Views
"Njia nyepesi kabisa ya kutofika popote ni kusubiri ueleweke na kusifiwa na kila mtu kwa jambo uliloamua kulifanya. Uhalisia ni kwamba huwezi kueleweka kwa kila mtu na sio rahisi sana kusifiwa na...
0 Reactions
2 Replies
893 Views
Wakuu naombeni usaidizi, nmenunua simu ina app ya spotify lakin nimeshindwa kuiwezesha ifanye kazi, kila nkijisajili inagoma.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nawaomba waungwana msikilize na kutazama video hii na kunisaidia kuelewa wanaposema Tanga, Moshi na Kilimanjaro, je Moshi si ipo Kilimanjaro? Au walitaka kusema Arusha?
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Hivi hiki kiswahili cha wapi??
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom