Habari wanajamii? Poleni na misuko suko ya Musiba kwa ujumla (apuuzwe) Lakini apewe uzito kadiri impasavyo
Ok turudi ktk dokezo. Jana usiku nimeisikia Treni ya mizigo ikipiga honi za mbwembwe sana...
Aliyewahi kuwa Afisa Elimu Sekondari wa Wilaya ya Chemba iliyopo mkoani Dodoma Mwalimu David Mwamalasa ambaye hivi sasa amehamishiwa wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma amesimamishwa kazi na...
Habari za leo wadau. Naomba wenye uelewa wa namna ambavyo naweza kulalamika pale ambapo askari wa barabarani kanilazimisha kuandika fine bila ya mimi kuridhia kosa langu.
Nimewahi kukutana na...
Wakati mmojawapo ambapo utakutana na VIPANGAMIZI na upinzani mkubwa sana kwenye maisha yako ni pale UNAPOANZA kubadilisha viwango. Kama vile ambavyo ndege inatumia nguvu kubwa inapoacha ardhi na...
Wakati Mwita Waitara ailipohamia CCM na Kuukwaa uwaziri akiwaacha vijana wengi pale Lumumba na maeneo mengine wa CCM wanaokesha usiku na mchana kuimba Litania za Masifu na Mapambio niliandika...
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum ameiomba Serikali iingilie kati kauli iliyotolewa na Baraza la Taifa la Mazingira (NEMC), hivi karibuni ya kutaka kengele na adhana katika...
Kwa kazi anazozifanya raisi mimi naona kama mawaziri hawamsaidii na hawawajibiki ipasavyo, hivi kweli Mpaka raisi anakwenda kutembea magerezani na kubaini uozo mwingi je Waziri husika anafanya...
Mimi nampenda sana Mungu na huwa nahubiri mno tu halafu nimefungua pia Kanisa langu japo bado ni Dogo ila lina Waumini wengi tu na wengine wanazidi Kuongezeka. Ila muda si mrefu nami An Eagle...
Habari wakubwaa!!
Kwanza kabisa niende moja kwa moja kwenye mada husika tajwa hapo juu!!
Mada: upungufu wa nguvu za kiume!!
Hivi ni kwa nn hili suala la nguvu za kiume ipo kwenye Miji mikubwa...
Raia wa Misri Hany Ahmed (27) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la kutorosha madini aina ya Almasi yenye thamani ya zaidi ya Sh. Milioni 12.
Akisoma hati ya...
BREAK NEWS
Habari za hivi punde
Msafara wa wabunge wetu unao ongozwa na Makamu mwenyekiti CUF bara umezuiliwa na police usitoke nje ya newala Leo kuendelea na ziara ya ufunguzi wa matawi na...
Our world is simulated hologram, it pulsate in micro-seconds. Namaanisha Binadamu hujatengenezwa na atoms and cells ulizozaliwa nazo kwa sababu sisi ni beings tuliotokana na frequency and light...
Baada ya wamachinga kuamuriwa kurudi kkoo Hali Sasa ni tete na waenda kwa miguu wapo hatalini kugongwa na magari Baada ya kulazimika kutumia njia za magari Baada ya njia za waenda kwa miguu...
Salute wakuu
Kutokana na kukosa ajira tangu nimalize chuo mwaka 2017.
Mwanzoni mwa mwaka huu nililima hekari 8 za mpunga huko morogoro.
Kwa mazoea wenyeji waliniambia siwezi kukosa magunia 80 ...
hawa watu kiukweli wana kero mwanzoni wakasema ili upate emergency travel document peleka nyaraka zote zifanyie scanning ili ukihitaji tena usisumbuke zitakuwa mtaandaoni lakini cha ajabu sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.