Darasa Huru

Darasa Huru

Bengalisis

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
1,851
Reaction score
2,771
"Njia nyepesi kabisa ya kutofika popote ni kusubiri ueleweke na kusifiwa na kila mtu kwa jambo uliloamua kulifanya. Uhalisia ni kwamba huwezi kueleweka kwa kila mtu na sio rahisi sana kusifiwa na kila mtu hasa jambo linapokuwa katika wazo ama hatua za awali. Ukiwa na jambo unaloliamini, wewe anza; wasiokuelewa sasa watakuelewa huko mbeleni lakini uwe na uhakika kwamba utakapofanikiwa, kila mtu atakusifu hata waliokupinga na wale ambao hawakukuelewa watajifanya walikuelewa na hawatakuwa na namna zaidi ya kukusifu."
 
Back
Top Bottom