Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dar es Salaam. Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imesema baadhi ya vyuo vikuu vilivyofungiwa udahili mwaka jana, vimeruhusiwa kufanya hivyo mwaka huu. Akizungumza wakati wa Maonyesho ya TCU...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Maisha yalibadilika, wasomi (wetu) wakaanza kuziona thamani zao katika ombwe la utupu. Walishindwa kuthamini hata vyungu vilivyowapika wakajiona wameiva. Wengine waliamua kujiita wamepikwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana jf naombeni mnisaidie, anaye pajua Luhinde Street, Ada Estate ni wapi? Ahsanteni!
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Hii nimekutana nayo mjini twita, nikaona sio mbaya kuwashirikisha wakuu juu ya fursa za biashara. Nadhani mchanganuo imejikamilisha hapo [emoji4][emoji4] 180k / siku ( x30) lazima uongeze...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kama mada inavyojieleza Naomba kujuzwa hatua za kufuata katika kusajili kampuni au kituo cha elimu hasa nursery school Gharama zake na documents zinazotakiwa Nataka nijue ili nijipange nitafute...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari Zanu wadau; NIngependa kuelimishwa kidogo kuhusu hizi vitu mbili maana kuna ugunduzi nimefanya sasa nahitaji kuulinda
0 Reactions
2 Replies
858 Views
Ukishajikubali na kujiamini hakuna linaloshindikana chini ya jua, kila jambo dhidhi yetu sisi wanadamu ni mipango ya MUNGU, lipo kusudi juu ya maisha yetu. Hupaswi kumlaumu Mungu kwa umbaji wake...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kisemavyo, naomba mtu anayeweza nisaidia kupata nyumba ya kupanga ya NHC maeneo ya Ilala, Urafiki, Magomeni au hata Shekilango/Ubungo ila sijui naanzia wapi. Japo nimesikia...
4 Reactions
27 Replies
22K Views
Katika awamu hii ya Tano Wakurugenzi wa Halmashauri huteuliwa na Mhe. Rais wa jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Hii ni kinyume na awamu zilizopita ambapo uteuzi wa wakurugenzi Watendaji...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari waungwana Ni mimi mwanafunzi wa SAUTI mwaka 2 hivi ndiyo naingia,naomba kuupata ufafanuzi nilikuwa napokea mkopo lakin bahati mbaya semester 2 siku signs na pesa imerudishwa bodi.je naweza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
CRDB LTD mnatutesa wateja wenu. mtandao kwenye benki na ATMs zenu haufanyi kazi tangu Ijumaa hivi tatizo ni nini? Msitulazimishe kumkumbuka Hon Kimei!
2 Reactions
4 Replies
1K Views
NTA Competence Level Descriptors NACTE has defined and established awards in technical education and training known as National Technical Awards (NTA). The NTA are competence-based and are...
0 Reactions
1 Replies
858 Views
. Je tunaweza kuwa na tafakuri ya yajayo ama kuweka hakiba ya maneno? Tunaposimama kwenye majukwaa ya siasa na kupayuka ili kufurahisha genge... Kumbuka kuna waandika kumbukumbu wasiochoka...
12 Reactions
23 Replies
4K Views
Mkazi wa kijiji cha Bugoshi kata ya Uyogo wilayani Kahama, Suzana Bundala (21) ameuawa kwa kupigwa na kaka yake Daudi Bundala baada ya kukutwa amelala na mpenzi wake nyumbani kwao. Kaka yake...
4 Reactions
64 Replies
9K Views
Kuna familia moja huku vijiji vyetu vya Shinyanga,Bukombe imepata tatizo.Alianza mama wa familia kuugua vitu visivyojulikana kila akifanya medical checkups hapatwi na kitu,akapewa rufaa tu...
1 Reactions
121 Replies
25K Views
Ni furaha kubwa kwa watanzania kuona Rais wetu akidumisha Upendo,Amani na Mshikamano kwa nchi za afrika mashariki. Kikubwa ni kujadili Kuhusu mipaka ya ziwa victoria pamoja na ushirikiano katika...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo ametoa siku 30 kwa Halmashauri zote zinazoendelea na ujenzi wa Hospitali za Wilaya kukamilisha kazi zote za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Polisi mkoani humo inamshikilia mtu mmoja, Ally Mwakila (32), Mkazi wa Mwambene kwa tuhuma za kupatikana na laini za simu 141 zenye usajili wa majina ya Watu wengine Mtuhumiwa ambaye pia ni fundi...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Baaada ya kupewa taarifa ya kufukuzwa shule ndani ya siku tatu niliishiwa nguvu na niliweza kulia sana kwamba ndoto yangu imeishia hapo. Tulimbembeleza sana yule mwanafunzi atusamehe na tukampa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Aisee south Africa wapo vizur Dar es salaam ni kijijini tu kwenye big population hakuna jipya yaan niko township moja inaitwa Eshowe in 14 lanes roads na ina population dogo kam 300,000 ila Dar...
3 Reactions
46 Replies
4K Views
Back
Top Bottom