Msaada na ushauri

Abuu Dharr

JF-Expert Member
Dec 28, 2017
2,898
3,006
Wadau
Nataraji mumeamka salama na family zenu,
Naombeni msaada wa kufahamu thamani na utaratibu wa kupata hati miliki ya ardhi,ardhi ambayo ni shamba la ukubwa wa heka tatu(3)

Shukran sana
Mbarikiwe
 
Nilichokutana nacho huko Ardhi

Kupimiwa tu,wametaka Milioni 3...!!!!

Nimepatwa na ukakasi

Hivi hili,ni sahihi?!
 
Back
Top Bottom