Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,740
- 290,583
Bado haijafahamika sababu rasmi za jambo hilo
ok , sasa nishaanza kuelewa ! kumbe shida yaweza kuwa Nkurunzinza !Hii si mara ya Kwanza BBC kuwa na matatizo na hasa Serikali ya Burundi juu ya Ripoti zake mbalimbali. Serikali nyingi za Afrika hasa zenye Marais ambao waliingia Madarakani kwa Ukatili au Udanganyifu na wanaendeleza Unyanyasaji dhidi ya Raia wao au Tabaka fulani la Watu huko huwa hawapendi Kusemwa au Mambo yao mabaya Kujulikana. Hata hivyo nina uhakika BBC na Serikali hiyo Burundi watakuja Kukaa chini na Kumaliza tofauti zao na Kuendelea Kutoa Huduma yao huko kama Kawaida.
Sizani.Nkuruzinza ni dikteta.Hapendi udhalimu wake utangazwe.Hii si mara ya Kwanza BBC kuwa na matatizo na hasa Serikali ya Burundi juu ya Ripoti zake mbalimbali. Serikali nyingi za Afrika hasa zenye Marais ambao waliingia Madarakani kwa Ukatili au Udanganyifu na wanaendeleza Unyanyasaji dhidi ya Raia wao au Tabaka fulani la Watu huko huwa hawapendi Kusemwa au Mambo yao mabaya Kujulikana. Hata hivyo nina uhakika BBC na Serikali hiyo Burundi watakuja Kukaa chini na Kumaliza tofauti zao na Kuendelea Kutoa Huduma yao huko kama Kawaida.