Hapa ndipo MV Chato itakapoundiwa

Hapa ndipo MV Chato itakapoundiwa

Zero Hours

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
12,942
Reaction score
18,693
Hapa ni Mwanza South. Haya ni maandalizi kwa kasi ya ajabu ambapo meli huunganishwa (assemble). Inatengenezwa garage ya kisasa kwa ajili ta MV chato. Habari za chinichini ni kuwa inawezekana MV Victoria ndyo inaweza kukarabatiwa na kuwa MV Chato.

20190712_121329.jpeg
20190712_121045.jpeg
 
Inayokarabatiwa hapo ni Meli mpya yenye kubeba abiria 1200 na tani Mia nne za mizigo.

Ambapo pichani chelezo.

Meli hiyo mmpya itakuwa inafanya safari za Bukoba mwanza pia Kampala kama ilivyokuwa MV Bukoba.

Bandari ya chato haina kina kikubwa cha kupokea Meli kubwa kama MV Victoria au nyingine hiyo kubwa.

MV Victoria itaanza tena Mach mwakani safari za Mwanza - Bukoba.

Huku Meli mpya ikitegemewa December.

Hivi sasa bandari za Bukoba, Kemondo na mwanza zimeishakarabatiwa kwa ajili ya Meli hizo pia.
 
Et bandari ya chato haina kina kikubwa meli ya victoria kufika! Unadhani kwanini wanatengeneza bandari ya chato au unadhani ujenzi wa babdari ni kujenga majengo tu?

Bandari ndogo kama za msoma na kemondo mv victoria inagoa, sasa itashindwaje chato?
 
Kipindi tupo seminarini tulikuwa tunasema "Kusifu na kuabudu kunawapasa wanyoofu wa moyo"

Ila huku mtaani hali ni tofauti sana.

Watu wa mataifa wanasema

"Kusifu na kuabudu kunawapasa wazee wa kujipendekeza na kujikomba kwa tabibu Pombe."
 
Kuna mengine mnasingizia mzee Chato wajameni.

Lkn mimi bwana siwezi kua rais alafu nikaacha home pamechakaa hou utakua unyerere, ukweli ndo huo,

kwa hilo la mzee Chato kupendelea kwao minaona ni sawa, tena kama vipi aweke hata ma flyover za kutosha na towers za nguvu.
 
Basi sawa, ikikamilika mtuundie fly emiarate yetu au dream liner si unajua sisi ni dona kantree hatutakiwi kuagiza
Hapa ni mwanza south.Haya ni maandalizi kwa kasi ya ajabu ambapo meli huunganishwa ( assemble). Inatengenezwa garage ya kisasa kwa ajili ta MV chato. Habari za chinichini ni kuwa inawezekana Mv Victoria ndyo inaweza kukarabatiwa na kuwa MV chato.View attachment 1151829View attachment 1151830
 
Write your reply...
Baba J Namuona Anakenua Tu
Muda Sio Mrefu Chuo Kikuu Chato.
(sio Kule Jalalani)
 
Back
Top Bottom