Kukaguliwa kwa mkaguzi.

Kukaguliwa kwa mkaguzi.

Siri ya sifuri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
2,621
Reaction score
2,273
Salaam wakuu?Kuna kipindi bosi wa watunga sheria alitufahamisha kwamba aliewakagua nae wamemkagua, na kutuahidi kwamba muda si mrefu mambo yake atayaweka hadharani, kwa maana hakuna kisichokaguliwa. vipi alishaitoa ile ripoti !? nauliza tu maana naona muda umeenda nami sijaiona.
 
Back
Top Bottom