Leo nimewahi kidogo kulala baada ya muda nikasikia chumba cha pili vitu vinaanguka kusikiliza kwa makini nasikia demu analia wakatoka hadi nje.
Iko hivi huyu sister ni mpangaji mwenzangu anafanya...
Nimesikitishwa sana na msiba uliotokea kwa ajali ya gari Julai 8 2019 iliyochukua maisha ya wafanyakazi wa Azam watano na madereva wawili huko Shelui Singida, wakielekea Chato kikazi...
BARAZANI
Na Ahmed Rajab
MAMBO mengi ya kijinga huzuka serikali inapokuwa haina akili. Inapojifanya hamnazo ikiwa inajaribu kuuzuga ulimwengu kwa ujinga inaoufanya. Siku hizi tunayashuhudia hayo...
Habari za hapa:
karibu yangu kuna vijana wamefungua kijiwe chao cha boda boda na hii ni hatua nzuri kwani wameamua kujiajiri na ninawapongeza sana. Tatizo lao kubwa ni kwamba katika mazungumzo yao...
Age and Life Stage
In the old days, people lived their lives a whole lot differently than they do today. For instance, 100 years ago (876,000 hours ago to be precise), a 32-year old woman might...
Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limesema wasanii Steve Nyerere na Irene Uwoya hawajasajiliwa na baraza hilo kufanya shughuli za sanaa.
Kauli hiyo imetolewa leo Jumatano Julai 17, 2019 na kaimu...
Naomben ushauri nimeota nataja jina la mwanamke ambaye siko ukaribu nae sasa mama watoto kanuna anaona mpaka nyumban apakaliki naomba ushauri nifanyeje
Wadau wa mtandao wa TIGO hii imekaaje kifurushi cha tigo "saizi yako" MB za usiku kuanza kutumika saa 7usiku badala ya saa 5 usiku kama ilivyo kua kawaida? Huku si kuumizana na kutesana.
Wakuu,
Baada ya tumbua tumbua ya wenye vyeti fake, kipindi wanahakiki watumishi kwa upande wangu nilijikuta natumia cheti bandia ila kikiwa na matokeo, namba na kila kitu changu ambacho kipo...
Ni rafiki yangu sana.
Wiki 2 zilizopita aliugua ghafla. Kwenda kucheck mara pressure , mara sukari , mara sijui ugonjwa gani.
Alikata moto kwa masaa 3 na kulala. Hakuwa anajitambua , tukakata...
Mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Tabora imemuhukumu kutumikia kifungo cha miezi kumi na miwili au kulipa faini ya kiasi cha shilingi milioni mbili dereva wa Treni ya...
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto yatoa kiasi cha shilingi Bilion 5.7 kwaajili ya ujenzi wa jengo la maabara na jengo la upasuaji ikiwa ni awamu ya pili...
Habari nilizonyetisha mahala nikiwa napata supu ya ng'ombe ni kwamba Wafanyabiashara hao wapatao 117 ndani ya Jiji la Arusha wanajiandaa kuteketeza zao lao la ngozi litokanalo na ng'ombe...
Hivi hapa Tanzania kuna Shamba la wafu la kueleweka?????
Hizi nchi zinazoendelea zina shida sana. Sio elimu, Nishati, Huduma za afya, Chakula Hata Ustaarabu tu ni Changamoto.
Sidhani hapa...
Chuo cha kilimo na mifugo Kaole Bagamoyo kimeanza kupokea maombi ya wanafunzi wanaotaka kujiunga na kozi mbalimbali za mifugo na kilimo kwa ngazi ya cheti,VETA na Diploma
Tunapokea wanafunzi...
Habar zenu ndugu zangu wa jf
Hope mnaendeleza vyema mapambano ya kujikwamua na magumu ya maisha hususani ya awamu hii
Nimeona kidogo nije na hili ili tupate ku share some ideas
Kama kichwa cha...
Pichani ni picha za mtanzania mwenzetu aliyefariki tangu mwaka jana akisubiri ndugu zake kwa maziko huko Afrika Kusini
Kama kuna mtu anamfahamu afuatilie ubalozi wa Afrika Kusini hapa Dar au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.