mtakahela
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 801
- 1,268
Salute wakuu
Kutokana na kukosa ajira tangu nimalize chuo mwaka 2017.
Mwanzoni mwa mwaka huu nililima hekari 8 za mpunga huko morogoro.
Kwa mazoea wenyeji waliniambia siwezi kukosa magunia 80 , yaan wastani wa gunia 10 kwa hekari.
Kutokana na changamoto za mvua nimebahatika kupata gunia 25 tuu.
Najiona sina bahati ndugu zangu.Natamani kukata tamaa lakini naamini katika magumu haya kuna sababu . Ipo siku nitafanikiwa tuu
Ndugu zangu, nina kiasi kidogo mkononi (laki 1 ) nawaomba mnisaidie biashara ambayo naweza kufanya itakayo nipa faida walau elfu 15 kwa siku.
Ama yeyote atakae nipa connection nipate kazi. Nina ka digrii kangu ka procurement nitashukuru sana.
Nawasilisha