Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Profesa Charles Kihampa amesema Chuo hicho kilichopo Mkoani Tanga kimefutwa kutokana na kushindwa kukidhi vigezo vya kudahili
Amesema hayo...
Biblia ina visi vingi sana vingine vinasisimua na vingine vinavyoogofya sana. Kisa hiki cha Yacob ni mojawapo ya visa vinavyosisimua. Yaani kama ingekuwa movie ni zile muvi za Hollywood. Movie...
Mtu mmoja mkazi wa Kijiji cha Usongo ,Nkinga wilayani Igunga anayefahamika kwa jina la Thadeo Shahibu amepandishwa kizimbani hii leo katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Tabora...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu watatu raia wa kigeni kwa kosa la kusafirisha madini aina ya dhahabu bila kuwa na kibali.
Watuhumiwa hao walikuwa wakitokea Wilaya ya Chunya...
UHALISIA WA MAISHA YA KILA SIKU
Ukiamka asubuhi na kuwasha taa, ujue shirika la Tanesco wamechukua hela toka kwako.
Ukienda bafuni kuoga ujue Idara ya maji wamechukua hela toka kwako, kiwanda...
Waungwa tupigie vita hivi vitu maana watoto imekuwa mtihani huu maana chocolate inatiwa humu kwenye bomba la shindano na wizara ya afya ipo kimya itafika muda watoto wataokota bomba za shindano...
Ni baada ya kuchinjwa kasha kucharangwa na mapanga.
Mwanamke mmoja ambaye ni mkazi wa Kijiji cha China Kata ya Kate, Nkasi, Rukwa, Telestina Silanda (45) ameuawa kwa kuchinjwa na mwili kucharangwa...
Mwanamke mmoja Mbeya auawa kikatili ,akutwa na kamba shingoni na majeraha makubwa ya moto.
Hali ya taharuki imewakumba wakazi wa eneo la Iwambi Block F jijini Mbeya kufuatia mauaji ya kikatili ya...
Kila gereza kuna askari magereza ambae ni Afisa usalama, moja ya majukumu ya afisa usalama ni kuhakikisha kuwa gereza lipo salama, hakuna hatari yeyote.
Afisa usalama ni shushushu wa gereza ambae...
"itakuwa korosho kubwa kama tutakuwa na chama au serikali ya watu wote wanafikiri sawa, wana maoni sawa, wana kauli sawa kwa kila jambo "
Tukiwa na watu aina hio tutakuwa ama hawafikiri au...
Walter Mguluchuma-Katavi
JESHI la Polisi Mkoa wa Katavi limemtia mbaroni Mchungaji Boaz Yohane (56) wa Kanisa la FPCT kwa tuhuma za kumbaka mtoto wake wa miaka 17 na kumpa mimba.
Akizungumza na...
Maisha ya mtaa yamenifundusha mengi zaidi ya chumba cha darasa kinachozalisha wanataaluma. Shukrani ziende kwa wanangu wote kitaa[emoji1363][emoji1363][emoji109]
Ushauri wangu tu kwa wengine cha Msingi ukiamka tu asubuhi piga Goti la Maombi / Dua kwa Mungu wako kisha nenda katafute zako Ridhiki uje Kula Wewe na Familia yako na kamwe usije Kupoteza muda...
Mkuu wa kitengo cha mauzo Hoteli ya Ramada, William Mgatta (36) na wenzake wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka matatu, likiwemo la kujifanya...
Kusini mwa Tanzania kuanzia Lindi , Mtwara to Ruvuma maisha ghali sana lakini huduma mbovu sana kuanzia malazi , vyakula na vinywaji.
Samaki ni bei ghali sana. Bia ndogo ni Tsh. 2,000.
Pweza...
Kwanza kabisa nashukuru juhudi za serikali ya awamu hii katika kuhakikisha wanakomesha rushwa kabisa.
Katika zoezi lililokuwa gumu ni kupata karatasi ya lose report toka polisi hasa unapotaka...
Azam TV mlipoanzisha TV tuliwaamini sana kuwa mgeweza let's mabadiliko na ushindani katika siko.Cha ajabu imekuwa tofauti na matarajio.
Kuanzia being ya mwezi mlianza pandisha taratibu mkaona...
Habari...
Ni kwa mda sasa nimekua nina tatizo ambalo naitaji kujua chanzo chake na ni dalili za tatizo au ugonjwa gani mana napata wasi wasi kidogo
Nikwamba......sehemu zangu baadhi za mwili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.