Msaada: Basi gani la luxury zuri kusafiria kati ya Arusha-Mbeya?

mwahaja

JF-Expert Member
Aug 25, 2013
391
105
Wakuu nauliza bus luxury toka Arusha kwenda Mbeya.

Bila sahau huduma ya charging system please.
Asanteni
 
Wakuu nauliza bus luxury toka Arusha kwenda mbeya.Bila sahau huduma ya charging system please.
Asanteni

Hii route haina bahati ya kumiliki gari za aina hiyo. Labda ukapandie Dar, huenda ukabahatisha. Nimeshawahi kupanda Arusha express Marcopolo namba A kupitia Dodoma! Hata mziki tu wa kawaida ndani hakuna. Ni kupepeza tu gari njiani. Na abiria wote wanafurahia safari.

Ukizungukia Chalinze, kuna Hood! hawa ndiyo balaa zaidi. Unaweza ukaingia Mbeya wiki moja mbele. Labda kama hizo gari zianze hivi karibuni.
 
Hiyo ruti Gari ya uhakika ni Arusha express tu,ya zamanii Scania ina sura inatia huruma ila ndo chombo cha uhakika na kuwahi

*Kulikua na Gracious sijui imeishia wapi
*Luxury class subiri mwaka 2025 labda
Asante.Sijui kwanini hakuna gari ya kueleweka nzuri hii route? Wakati ni miji mikubwa sn.
 
Imeanza hivi karibuni? Ninachofahamu Shabiby anaanzia Dodoma pamoja na wenzake akina Kimbinyiko. Arusha Mbeya ninaowatambua mpaka sasa ni Arusha Express tu! Marcopolo bus, namba T..... AAA.
Shabiby yupo saa moja na nusu from Moshi to Mbeya asbh kila siku nmeipanda last year.
 
Sijawahi ona hiyo gari labda kama lina njia yake, kuna New force kama hawajastopisha safari zao, kuna mbeya express hili ni skania. Huku wakiweka luxury na umbali huu zi mtaziua, angalia gari za mwanza mbeya kama kuna luxury lazima uangalie na root hizi, milima + kilomita kedekede
 
Kwakweli Magari mengi ya Mbeya ni scania za zamani kama HAJEES.
 
Kuna hajees pia anaenda mbeya
Hiyo ruti Gari ya uhakika ni Arusha express tu,ya zamanii Scania ina sura inatia huruma ila ndo chombo cha uhakika na kuwahi

*Kulikua na Gracious sijui imeishia wapi
*Luxury class subiri mwaka 2025 labda
 
Sijawahi ona hiyo gari labda kama lina njia yake, kuna New force kama hawajastopisha safari zao, kuna mbeya express hili ni skania. Huku wakiweka luxury na umbali huu zi mtaziua, angalia gari za mwanza mbeya kama kuna luxury lazima uangalie na root hizi, milima + kilomita kedekede

Uko sahihi. Sumry, Mbeya express na New force; wote walichemka kitambo.

Kwa sasa route zote zinamilikiwa na Scania Marcopolo za Hood na Arusha express! Na zote zina usajili wa A! Wengi huwa tunapanda basi za kuunga unga. Maana gari zote hizo hazina comfortabilty ya aina yoyote ile kwa kweli.
 
Nimezoea natoka zangu moshi to dar dhen mbeya kwann ujipe tabu
 
Panda hajj's gari mpya route ya arusha au panda arusha express...

Ndani ya mwaka huu zinaingia luxury desert za mbeya - arusha, mbeya - bukoba, mbeya - mwanza, mbeya - dar, mbeya - mtwara, mbeya - tanga

#desert
Wakuu nauliza bus luxury toka Arusha kwenda Mbeya.

Bila sahau huduma ya charging system please.
Asanteni
 
Hizi gari za route ndefu zinakimbia sanaa aisee... Yani ni kama wana ruhusa ya pekee kukimbia. Askari wa usalama huingia tu na kusalimia ..' jamani za safari'!? Wanatoka zao...

Nilipanda ZEELAND juzi kati hapa toka Mbeya...linachochora mpaka Arusha wanalala Moshi.. Aisee kama una roho nyepesi unaahirisha safari...

Speed ni kali mnoo. Siwashauri muunge safari ndefu namna hii ni hatari sana..
 
Hiyo ruti Gari ya uhakika ni Arusha express tu,ya zamanii Scania ina sura inatia huruma ila ndo chombo cha uhakika na kuwahi

*Kulikua na Gracious sijui imeishia wapi
*Luxury class subiri mwaka 2025 labda
Ni miaka michache tu imepita, Hii route ilikuwa na Mbeya Express, ilikuwepo New Force, sasa leo kusikia Arusha express peke yake sielewi elewi hapo.
 
Hizi gari za route ndefu zinakimbia sanaa aisee... Yani ni kama wana ruhusa ya pekee kukimbia. Askari wa usalama huingia tu na kusalimia ..' jamani za safari'!? Wanatoka zao...
Nilipanda ZEELAND juzi kati hapa toka Mbeya...linachochora mpaka Arusha wanalala Moshi.. Aisee kama una roho nyepesi unaahirisha safari...
Speed ni kali mnoo. Siwashauri muunge safari ndefu namna hii ni hatari sana..
Nilipanda hii Zeeland mwezi uliopita kutoka Moshi kwenda kuzika mby, ikalala makambako nikachukua IT nikaamsha sa 11 Alfajiri nipo mby.
 
Back
Top Bottom