Mwanza kunani kuleeee???!!

Mwanza kunani kuleeee???!!

Watu mna wivu na mmejaa roho ya ubinafsi

Kwani kitu gan kinashangaza mwanza?


Basi na hapa tuseme Kaskazini kuna nini

tapatalk_1563197152031.jpeg
 
Leo kaenda kukagua ukarabati wa Mv Victoria na Butihama pia na ujenzi wa meli mpya kule Bandari ya mwanza Kusini.

Kusema kweli awamu ya pili ya JK Mwanza ilisahaulika kabisa.
 
Hili ni tukio moja katika kipindi cha miaka 4. Mwanza ni kila baada ya miezi kadhaa lazima tutembelee.
Watu wana wivu tu, Maghuful kafanya ziara moja tu Mwanza zingine zote ni mission yake ya kwenda au kurud toka chato, Mradi mkubwa wa maji wa pesa ndefu umepelekwa Arusha, Ukiondoa Dsm, Arusha ndo ilikuwa na ina mrad mkubwa Wa barabara kuzid mikoa iliyobaki, hv mnataka Maghuful afanye nin huko kaskazin labda, Maghuful sjui kafanya nn Mwanza cha kusema kapendelea, au STG ambayo kiuhalisia itaishia Dodoma,
 
Watu mna wivu na mmejaa roho ya ubinafsi

Kwani kitu gan kinashangaza mwanza?


Basi na hapa tuseme Kaskazini kuna nini

View attachment 1155209
Natuna shida na usafiri kwanza tuna magari mengi ya usafiri kuliko nyie farasi

Kilimanjaro express
Kisbo
BM coach
Machame safari
Lim Safari
Arusha express
Saibaba express
Ngorika
Makara
Etc etc etc

Hatuitaji haya makitu tunajiweza kwa kila kitu sisi hatulalamiki kwamba tuna shida ya barabara mpaka vichochoroni tuna safiri na kufika
 
Back
Top Bottom