Uhalisia wa maisha ya kila siku

Uhalisia wa maisha ya kila siku

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,617
UHALISIA WA MAISHA YA KILA SIKU

Ukiamka asubuhi na kuwasha taa, ujue shirika la Tanesco wamechukua hela toka kwako.

Ukienda bafuni kuoga ujue Idara ya maji wamechukua hela toka kwako, kiwanda cha sabuni pia wamechua za kwao.

Ukipiga mswaki kwa kutumia dawa – ujue kiwanda cha kutengeneza dawa wamechukua hela toka kwako.

Ukielekea kazini ujue waendesha bodaboda, daladala na makampuni ya mafuta wamechukua hela toka kwako.

Wakati ukiwa ofisini ukajisikia kupata kifungua kinywa ujue mwenye mghahawa / mama ntilie kachukua zake toka kwako … NA MENGINE MENGI.

Hivi hujiulizi ni kwa nini hakuna sehemu ambapo hata wewe unapaswa kuchukua hela pasipo uwepo wako? Njia rahisi ya kuchukua hela zako pasipo wewe kuwepo ni kujiingiza kwenye ujasiriamali. Jenga mazingira ya kupata hata Tshs. 5,000/= pasipo wewe kuwepo mahali pale.

Nikutakie Jumanne njema yenye mafanikio.
 
Kwa kuongezea jùu ya hilo.

Ifahamike kwamba kuna makundi kadhaa ya watu yaliyogawanywa kulingana na akili + plan zao.
1. Wenye mipango na akili za masaa 24.
2. Wenye mipango na akili za week moja
3. Wenye mipango na akili za mwezi mmoja
4. Wenye akili za mwaka mmoja
5. Wenye mipango na akili za miaka kumi
6. Wenye mipango na akili za miaka mia moja mbele
 
Asante sana mkuu kwa ujumbe fikirishi🤝.
 
We labda pengine Kwa siku huwa unaingiza kiasi gani pasipo uwepo wako!!??
Tupe mfano isiwe pengine we unatushaur lakin we haupo hivo, ..... We Kwani unaingiza Kiasi gani Kwa siku!!??????? [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Ukiingia tu toilet kujisaidia ujue wenye dawasco wamechukua chao
 
Kwa kuongezea jùu ya hilo.

Ifahamike kwamba kuna makundi kadhaa ya watu yaliyogawanywa kulingana na akili + plan zao.
1. Wenye mipango na akili za masaa 24.
2. Wenye mipango na akili za week moja
3. Wenye mipango na akili za mwezi mmoja
4. Wenye akili za mwaka mmoja
5. Wenye mipango na akili za miaka kumi
6. Wenye mipango na akili za miaka mia moja mbele
Bila kusahau wenye mipango na akili baada ya kustaafu na kupata pensheni
 
Serikali kwa hao wooote waliochukua hela kwangu inachukua hela kwao halafu badala ya hizo hela kurudi kwangu zinaenda kwenye matumbo ya watu.
 
UHALISIA WA MAISHA YA KILA SIKU

Ukiamka asubuhi na kuwasha taa, ujue shirika la Tanesco wamechukua hela toka kwako.

Ukienda bafuni kuoga ujue Idara ya maji wamechukua hela toka kwako, kiwanda cha sabuni pia wamechua za kwao.

Ukipiga mswaki kwa kutumia dawa – ujue kiwanda cha kutengeneza dawa wamechukua hela toka kwako.

Ukielekea kazini ujue waendesha bodaboda, daladala na makampuni ya mafuta wamechukua hela toka kwako.

Wakati ukiwa ofisini ukajisikia kupata kifungua kinywa ujue mwenye mghahawa / mama ntilie kachukua zake toka kwako … NA MENGINE MENGI.

Hivi hujiulizi ni kwa nini hakuna sehemu ambapo hata wewe unapaswa kuchukua hela pasipo uwepo wako? Njia rahisi ya kuchukua hela zako pasipo wewe kuwepo ni kujiingiza kwenye ujasiriamali. Jenga mazingira ya kupata hata Tshs. 5,000/= pasipo wewe kuwepo mahali pale.

Nikutakie Jumanne njema yenye mafanikio.
Mfano Mtengeneza colgate, serikali pamoja na Mimi ambaye ni mangi nauza kiduka changu
Wewe unaponunua Colgate kwangu unapokuwa nyumbani unatumia Colgate tayari Mimi naingiza % japokuwa sipo eneo hilo wakati huo
Kwahiyo uliyoandika hapa inawahusu wafanyabiashara aina zote hata wachoma vitumbua tu
 
UHALISIA WA MAISHA YA KILA SIKU

Ukiamka asubuhi na kuwasha taa, ujue shirika la Tanesco wamechukua hela toka kwako.

Ukienda bafuni kuoga ujue Idara ya maji wamechukua hela toka kwako, kiwanda cha sabuni pia wamechua za kwao.

Ukipiga mswaki kwa kutumia dawa – ujue kiwanda cha kutengeneza dawa wamechukua hela toka kwako.

Ukielekea kazini ujue waendesha bodaboda, daladala na makampuni ya mafuta wamechukua hela toka kwako.

Wakati ukiwa ofisini ukajisikia kupata kifungua kinywa ujue mwenye mghahawa / mama ntilie kachukua zake toka kwako … NA MENGINE MENGI.

Hivi hujiulizi ni kwa nini hakuna sehemu ambapo hata wewe unapaswa kuchukua hela pasipo uwepo wako? Njia rahisi ya kuchukua hela zako pasipo wewe kuwepo ni kujiingiza kwenye ujasiriamali. Jenga mazingira ya kupata hata Tshs. 5,000/= pasipo wewe kuwepo mahali pale.

Nikutakie Jumanne njema yenye mafanikio.
Ndio wapi hapo?
 
Ujumbe makini sana.
Ahsante tuufanyie kazi vinginevyo tutaendelea kuwalaumu wanasiasa ambao hawana mpango na sisi zaidi ya kutoa ahadi za uongo uongo tu.
 
Back
Top Bottom