Waungwana tupigie vita hivi vitu maana watoto imekuwa mtihani huu maana chocolate inatiwa humu kwenye bomba

Famyff

Member
Mar 18, 2019
30
65
Waungwa tupigie vita hivi vitu maana watoto imekuwa mtihani huu maana chocolate inatiwa humu kwenye bomba la shindano na wizara ya afya ipo kimya itafika muda watoto wataokota bomba za shindano wanazotumia wavuta unga halafu waje kupata maradhi
FB_IMG_1563392317945.jpeg
 
Hii nchi Kuna watu wanaamka asubuh wanaenda ofisini na hawafanyi chochote kea kulisaidia taifa lao Zaid ya kuliangamiza taifa ndo Mana wasimamizi wengi wa wizara na hiz taasisi ukiwaona wamevimba hatar na kibur ya pesa hipo.

Hapo TBS &TFDA ilkua ndo jukumu lao namba Moja kuzuia hii kitu lakin vp pale bandarin wakati wanakagua mzigo ili uingie nchin walivyoona hvyo walijua n vifaa tiba vinaingia nchin na havikulipiwa Kodi?

Naamini ukifanyika uchunguz yatagundulika mengi ya hovyo humo
 
Heeee! !!! Kweli Hii nchi inaongozwa na mazwazwa. .

Yaani kabisa TBS na TFDA wameruhusu hiyo bidhaa kuuzwa. ....?
 
Tuache kulaumu kwa kila kitu, tuna jukumu kama Raia wema wa Tanzania kutoa taarifa zozote zinazoonekana siyo rafiki kwa nchi yetu na zilizo na alamanya hatari.
 
Back
Top Bottom