Azam TV acheni hizi

Azam TV acheni hizi

ranger one

Member
Joined
Nov 13, 2018
Posts
18
Reaction score
9
Azam TV mlipoanzisha TV tuliwaamini sana kuwa mgeweza let's mabadiliko na ushindani katika siko.Cha ajabu imekuwa tofauti na matarajio.

Kuanzia being ya mwezi mlianza pandisha taratibu mkaona haitoshi , bando likiisha mkawa mnakata channel zote na kuacha ile ya extra na TBC tu.Yoote hayo ni kanjanja , mpaka serekali ilipoingilia kati kwa wasiojua wakaona kama mmeonewa.

Sasa kama extra Chanel ni free Leo mmekuja na wizi was kulipia 1,000 zaidi ya malipo ya mwezi eti kuona sinema mnazokuja Nazi kama hii doctor Kosovo , kwanini msiache watu waone kama wameshalipia bando LA mwezi?

Huu ni wizi naomba Waziri husika aweze liona au mjirekebishe.,,1,000 per movie kweli mpo kwa ajili ya kuibia na siyo to a huduma kama tulivyotarajia? Sasa hivi mmekazanavkurudia series Bentehaa mbashindwa hata jiongeza.
 
Back
Top Bottom