Wadau kulikuwa na tetesi kuwa huyu jamaa anahamia new Habari Corporation kwa RA kuanzia tarehe 1.12.2012, na ushahidi wa hili ni alipoanza kuandika makala ndani ya gazeti la Tanzania Daima (m4c...
Ati toa sadaka kwa Mungu, hivi Mungu atakuja lini kukusanya hizo sadaka?
Hicham Kwieder, 65, of Wulfstan Way, Cambridge
A Muslim leader has plundered more than £111,000 from the charity that...
Baada ya kubanwa sana katika kesi waliyofungua dhidi ya Serikali ya Tanzania, leo Acacia wameuthibitishia ulimwengu kuwa kampuni hiyo ilikuwa ikiibia nchi hii utajiri wake kwa kuomba kusitisha...
Hivi ushaa wahi kuwaza kuwaza! Yule mdada ambaye enzi zile mzuka wa mapenzi unaanza kutawala maisha yako na ukamuona kama google kwani kila unachotafuta unaona anacho angekuwa anakuja ghetto...
Wakuu nimetoka kucheki comments za wadau hapa baada ya bandiko langu la kutaka kuzamia iringa
Kwa maelezo ya watu wengi huku wamenionesha Kua iringa si sahihi bora nizamie dar.. Nimekubali...
Source: https://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/1597296-5201746-qc4g1dz/index.html
Wezi wa kuku mimi kwa upande wangu nashauri Wezi wa kuku mimi kwa upande wangu nashauri tutumie viboko. Kuna...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hawa jamaa wamekuwa kero kubwa kwangu, sina furaha na simu yangu yani kutwa ni SMS zao na nyie TCRA sijui hamuoni malalamiko yetu? mwenye uwezo awafikishie...
Yaani hiyo request for loan statement yenu mliyoweka kwenye tovuti yenu hivi mnajua kama iko active? Au mmeweka ili mradi eti mmeonesha ubunifu wenu?.
Yaani mtu unaandika details zote...
Nimefanya malipo ya bili baada ya kutumia huduma katika idara moja ya serikali kwa kutumia control number kwa njia ya simu.
Nilitakiwa kulipa tsh 20,000/= badala yake nikalipa tsh 200,000/= .
Je...
1. Una harusi usinitafute kwa ajili ya mchango
2. Una birthday usinitafute kwa ajili ya mchango
3. Kipaimara usinitafute kwa ajili ya mchango
4. Unyago usinitafute kwa ajili ya mchango
5. Send...
Habari zenu ndugu zangu nina imani mko poa.Hii ni historia yangu fupi ya kielimu.
Baada ya kumaliza darasa la saba Bukoba nilienda Uganda sehemu moja inaitwa Kakuuto kusoma english course huu ni...
Habari wakuu.
Kama kichwa kilivyo jieleza nina safari yangu Jumapili au Jumatatu ndani ya hizi siku weekend hii, Kuelekea mkoani Mbeya.
Baada ya kumaliza UE nimeona nikapate kutembea mkoa wa...
Aisee yule askari magereza wa butimba ametia huruma sana, ilibaki kidogo sana atumbuliwe mbele ya wafungwa, angekosa ng'ombe watatu na magunia kumi na tano ya mchele kwa ajili ya wali nyama, ila...
Wanajamvi leo nimemkumbuka ndugu yangu william shao. Mara ya mwisho nilikuwanamsoma sana kwenye gazeti la rai enzi zile za nguvu ya hoja na makala zake moto na zenye ukinzani wa kutosha.namwomba...
Habari zenu wote humu.Kuna rafiki yangu anasoma kozi fulani kwa ngazi ya diploma kwenye chuo kimoja huko mkoani ambacho sio cha serikali.
Wakiwa wanaingia mwaka wa mwisho saiz wametakiwa kupeleka...
Nimejaribu kuwa muungwana kwa kipindi fuluni lakini naona haisaidii, imefikia muda nataka kufanya jambo.
Kuna kijana ananisumbua sana zaidi ya mwaka sasa, kijana huyu nimepanga nae nyumba moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.