Kuondolewa kwa January Makamba kama waziri ofisi ya makamu wa rais, Muungano na mazingira kumeibua mjadala mkubwa kwenye social media.
Kama anavyojulikana ama kuzoeleka, Bw Makamba, mbali na kuwa...
Ukizingatia matumizi ya gesi yanaweza kupunguza gharama zihusuzo nishati kwa zaidi ya 50% na kuongeza ufanisi, pia inapatikana hapa hapa Tanzania hivyo kuokoa pesa kigeni ambazo zingetumika...
Katika moja ya hatua kubwa zinazopigwa na nchi jirani ya Kenya ni kuazimia matumizi ya nishati safi na salama kufukia mpaka 2020.
Kipindi bado maeneo mengi katika ukanda wa Afrika ya Mashariki na...
Alifanya mauaji Mengi, Lakini ambayo ni ya Kusisimua Ni Kwanza...alikuwa na Mpenzi wake ambae Aliuliwa na Kikundi cha Wahuni. Pedro aliwasaka Hao Jamaa na Kuua Mmoja mmoja.
.
Baba yake mzazi...
UKISTAAJABU YA BASHITE, UTAONA YA MUSIBA
Na Bollen Ngetti
WENYE busara hunena kwamba "ndege wanaofanana huruka pamoja". Kwamba huwezi kukuta bundi akiruka pamoja na mbayuwayu. Ikitokea ni...
1) Cape Verde ni kisiwa kwa muonekano kinafanana sana na Zanzibar.
2) Ili kufika Cape verde ni lazima hutokee moja ya nchi za West Africa sana sana Senegal na nchi za jirani na Senegal kwa maana...
From
Dr Hamis A. Kigwangala
Pichani, Faru Rajabu, ambaye ni mtoto wa Faru John. Alionesha kipaji cha ‘libido’ kali mpaka akawa tishio kwa babake, akapigwa sana. Alilazimika kuhama toka...
Kuna watu wengi wameng'ang'ania Dar baada ya kuja na Magari ya kuleta msiba. Hawa wamekuja baadaye maiti imezikwa hawataki kuondoka...wanakuwa mzigo sana hapa Jijini maana kila siku wanatapeliwa...
Uchumi.
Uchumi wa kisasa kabisa tena wa Kimataifa.
Mabwashee mlikuwa kila siku ooh Krisimasi nauli zinapanda mara Serikali iliangalie hili suala na malalamiko mengi.
Kabla hamjamaliza...
Naomba Uzi huu ulindwe kwa maslahi mapana ya nchi yetu;
Kwanza kabisa naomba tuchambue neno "Plastiki " ni kitu gani!
Kwa mujibu Wa kamusi;
Plastiki ni kitu kilichoundwa kwa mchakato Wa kemikali...
Kushuka kwa bei ya Pamba nyuzi katika Soko la dunia kumetajwa kuwa ndio chanzo cha makampuni ya ununuzi wa zao la Pamba mkoani Shinyanga kushindwa kununua kwa kuogopa kupata hasara.
Hayo...
Nimeisikiliza clip inayodaiwa kuwa ni ya Nape na mzee Kinana wakizungumza kwenye simu. Nimeirudia zaidi ya mara 3. Bahati nzuri wote wawili nawajua in personal. Nape namfahamu na nimekutana nae...
Kipande hiki ni kero kubwa sana kwa wananchi tunaoishi upande huu, kuna foleni kali sana majira ya asubuhi na jioni. Nafuu unakuja kuipata Tegeta nyuki inapoanzia 4 way.
Tafadhalini tutanulieni...
Habari wakuu
Siku kadhaa nyuma nlileta huu uzi hapa kuomba ushauri wenu na Wengi mlinikataza kabisa kufanya lile nililokua nimekusudia
unaweza kusoma uzi huo hapa...
Bia hii ya kampuni ya TBL ikiwa na uchafu ndani yake
Hii ni moja ya bia inayozalishwa na TBL ikionekana kuwa na uchafu ndani yake huku ikiwa sokoni kabisa.
Kampuni hii bia zao zimekuwa na...
Habarini wakuu
Ninaleta mambo kumi kuhusu nchi ya Hawaii unaweza ukaongeza na jambo lako pia.
1. Alfabeti za hawaii jumla zipo jumla ya herufi 12. Irabu ni a, e, i, o, pamoja na u. Upande wa...
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
Yamenikuta jana baada ya kunyofolewa ndani ya begi walinyakuwa iPad moja, Camera Nikon na Laptop!!
IMEBAINIKA kuwapo kwa wizi wa kutisha katika...
I found it somewhere and decided to share with you guys.
Written by Neil de Beer.
Sunrise... Fisherman set out on Lake Tanganyika.
JOHANNESBURG - Ernest Hemingway published a short story called...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.