Habari wadau!!
Mwezi uliopita niliagiza AMAZON KINDLE kutoka ebay, nikiangalia tracking number inaniambia mzigo umefika tokea June 10 ila cha kushangaza juzi nimeenda posta wananiambia mzigo...
Akizungumza kwa jazba ( hasira ) kabisa asubuhi hii katika Runinga ya StarTv ndani ya Kipindi cha Jicho Letu Tuongee Habari Mkurugenzi wa Vilabu vya Waandishi wa Habari ( Union of Tanzania Press...
0# Drugs -
You pay a far bigger price than money to use Drugs.
1# Joining a Career for Money -
No amount of money will be able to justify 40+ years of doing something you don’t fully enjoy.
2#...
Al-ḥamdu l-illahi rabbi l-alamin .
Namshukuru Mwezi Mungu ,Siku ya leo rasmi nimemaliza mitihani yangu ya chuo ,hivyo ni hatua kubwa sana kwangu kuelekea kuhitimu masomo yangu.
Semista hii ndio...
Recently nimekuw najiuliza maswali jinsi shilingi yetu inavoshuka Thamani huku
Huku shilingi ya Kenya Ukiendelea kuimarika...
Well mimi sio mchumi ndo sababu sielewi how come Nchi ambayo ina...
Ndugu zangu wanaJF,leo ninazungumzia kilimo chenye tija ili kuondokana na umaskini na hatimae kupunguza malalamiko ya waTZ kila kukicha.
Kwanza kabisa, kilimo kinategemewa na watanzania zaidi ya...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa humu jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya.
Badala ya kutumia nguruwe kama kitoweo cha biashara, ninaweza kuwatumia kama dampo...
Za jumapili wapendwa
Nimekua nikitaman kujifunza meditation for so long lakin kusoma vitabu bila Ku practice inakua haimake sense na bila mwalimu Ku practice inakua ngumu
Sasa nimefuatilia wapi...
Hello Gentleman and Ladies mmeshindaji wanandugu?
Naomba kuuliza Kwa anayejua ,Nimeagiza Gari aina ya suzuki escudo ya mwaka 2007 kutoka Singapore.
Kwa bahati mbaya nchini Singapore hawana Wakala...
Waziri wa Kilimo Mhe.Japhet Hasunga ameiagiza bodi ya Pamba nchini kutayarisha vitambulishio vya wakulima wa zao la Pamba wote nchini na kuvigawa bure kwa lengo la kuwatambua huku akiwatoa hofu...
Jiji la Dar es salaam lenye idadi kubwa ya watu hapa nchini na kitovu cha biashara na viwanda mbalimbali haikutakiwa kuwe na uhaba wa maji kwenye baadhi ya maeneo kama ilivyo sasa.
Dawasco...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi mhandisi wa maji wa Wilaya ya Same, Mussa Msangi kutokana na kushindwa kusimamia utekelezaji wa mradi wa maji Hedaru.
Pia...
Kwasasa unachoweza kufanya ni kuitisha tu press conference ili ujibu tuhuma za ushoga kufumaniwa na mambo mengine mepesi mepesi ya kisanii na kufurahisha genge... Ama labda uwe bash boi au msiba...
Wasimamizi wa mirathi ya wasanii marehemu Steven Kanumba na King Majuto wamelipwa Sh45 milioni baada ya kamati ya kupitia mikataba ya wadau wa filamu iliyoundwa na Serikali kufanya kazi ya...
Ndugu Waandishi wa Habari.
Leo nitazungumza nanyi. Naomba tukutane katika Hoteli ya Double Tree,Dar es Salaam. Muda nitawaeleza baada ya muda mchache ujao. Mjulishe mwenzako.
Lusinde (MB)...
Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam, Camilius Wambura, amethibitisha kumuita msanii wa filamu nchini, Irene Uwoya na Steve Nyerere, kufuatia kitendo alichokifanya cha kuwarushia...
Nipo Dodoma muda sasa kufuatilia masuala ya kiserikali.
Siku hizi wajua tena Dodoma ni makao makuu..
Jioni jana niakaamua kupata moja baridi na mbuzi choma Platinum Annex panaposifika.
Kula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.