Wanajiamini wanajiona na wao ni wakubwa kama magari yao,usiombe uwe na kigari chako km ist,passo n.k yenyewe yakichungulia yakiona gari km ndogo yanafuata tu-overtake yanaamini utapisha tu! Hii ni...
Ukipita sehemu watu wakawa wanapigana baadhi watu wanao tazama wanakuwa wanacheka. Hata ukitazama video clips watu wakipigana utasikia watu wanacheka.
Sometimes hata wao wanao pigana ngumi...
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dk Maulid Madeni amemtaka mhasibu wa jiji hilo, Charles Jacob kujisalimisha polisi kwa madai ya kutafuna Sh85 milioni za makusanyo ya kila mwezi kuanzia Machi, 2019...
Manually nishatafuta sana kumpata mtu wa kunifundisha jinsi ya kuweza kujiprotect kwa mfano ukivamiwa.
SABABU ilionifanya niombe huu msaada ni mazingira ninayoishi ya hapa Dar kwani hata atokee...
Wana jamvi kama kichwa kinavyojieleza!! Nahitaji kusafirisha vitanda sita na makabati ya mbao, kwani ninahamisha familia kutoka songea kwenda Dodoma!!
Je nahitaji kuwa na vibali vyovyote!?
Naomba niweke wazi, nimelazimika kuandika huu uzi baada ya kuona habari kuhusu Edo Kumwembe kuvunjiwa na kuibiwa TV na vingine >> Wezi wavunja nyumbani kwa Edo Kumwembe na kuiba seti ya TV inchi...
Serikali ya Tanzania imesitisha uamuzi wa kuwahamisha wanafunzi 48 wa kidato cha sita waliopata daraja la tatu kwenye mitihani ya muhula wa pili katika shule za sekondari za vipaji maalumu kwenda...
Hi, samahani kwa Usumbufu, mimi ni jike lakini nahitaji kubadilisha jinsia yangu,nahitaji kuwa dume.
Je, ni wapi naweza pata huduma hii ktk nchi hizi za Afrika Mashariki?
Asanteni kwa...
Salaam,
Napenda kutoa pongezi zangu kwa Maxence Melo, JF staff, na Members wote kwa hatua nzuri iliyofikiwa hata kufikia hatua ya Mkurugenzi wa Jamii Forum kupata Tuzo ya CPJ baadae huko Us...
Hii nchi ni tamu sana.
Dsm ndo kila kitu , Dsm ndo Tz yenyewe.
Issues zote , mipango yote, maujanja yote, akili nyingi , system yote, biashara zote , uchafu na fitina zote za kidiplomasia...
Habari za jioni wadau ninataka kusafiri kutoka Arusha kwenda Dar Es Salaam na mbwa wangu nilikua naomba kwa wanaofahamu namna gani naweza kusafiri na mbwa wangu kwa kutumia usafiri wa public Ka...
Baada ya Nape, Makamba na Kinana...limeibuka jingine. Simba na Yanga wao watacheza mwezi wa Pili. Hili suala wengi wanashindwa kulielewa maana watu wanauliza wanapoteaje? Ben Saanane.
Musiba kaja...
Baada ya mda kidogo kurudi kwenye mizunguko ya huku na huko mikoa tofauti na hata nchi tofauti hatimae nimerudi jana na nilipoulizia kile kigari kinachonikera usiku wa manane hatiame nimeambiwa...
The Haya people of Tanzania have been linked to one of the greatest scientific breakthroughs of all time: the advent of steel. Anthropologist Peter Schmidt discovered through the communication of...
Jana nilienda kurekebisha kitambulisho changu cha kupiga kura ,mkoani Arusha.Zoezi lilichukua takribani dakika 20.Toka kujaza fomu,kupigwa picha hadi kupewa kitambulisho.
Nimejaza fomu za NIDA...
Inasikitisha sana sisi wenye akili tumekuwa tukitengwa na threads zetu wakati mwingine zinaondolewa au zinakosa wachangiaji.
Sababu wasio na akili ni wengi na wanashirikiana sana. Wanapeana...
]HAKUNA ASIYE AMINI KAMA KUNA KUFA...YAANI KUFA NI LAZIMA...HATA KWA WALE WASIO AMINI MAISHA BAADA YA KIFO...KWAO HILO HALINA MJADALA...[/B]
Lakini watu wote tumeingiwa na woga sana juu ya...
Habari wadau!!
Mwezi uliopita niliagiza AMAZON KINDLE kutoka ebay, nikiangalia tracking number inaniambia mzigo umefika tokea June 10 ila cha kushangaza juzi nimeenda posta wananiambia mzigo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.