Makeke ya Rostam yaanza kuonekana

Mandesy

Senior Member
Mar 22, 2018
115
125
Kuondolewa kwa January Makamba kama waziri ofisi ya makamu wa rais, Muungano na mazingira kumeibua mjadala mkubwa kwenye social media.

Kama anavyojulikana ama kuzoeleka, Bw Makamba, mbali na kuwa tano bora kwenye kura za maoni za uraisi mwaka 2015, bado alikuwa akipewa nafasi kubwa ya kubakia serikalini kwa muda mrefu.

As a surprise, jana ukawa mwisho wake, lakini bado watanzania wanaamini kuwa hii haijampunguzia kitu bwana Makamba katika safari yake ya matumanini.

Kwa kuondolewa kwa Makamba, kaibuka kijana Hussein Bashe akiwa ni naibu waziri wa kilimo. Hii ni mbegu ya Rostam Aziz na kuteuliwa kwa Bashe ni dhahiri kwamba ni ku consolidate ukaribu wa Rais na Mfanyabiashara maarufu Rost Arm As Is…. Hapa tunapelekwa chaka jamani
 
F2BA9BC7-7A8F-4302-91E9-0679D02A2E2A.jpeg
 
Back
Top Bottom