Bollen Ngetti: Ukistaajabu ya Bashite, utaona ya Musiba

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
26,060
23,941
UKISTAAJABU YA BASHITE, UTAONA YA MUSIBA

Na Bollen Ngetti

WENYE busara hunena kwamba "ndege wanaofanana huruka pamoja". Kwamba huwezi kukuta bundi akiruka pamoja na mbayuwayu. Ikitokea ni mujiza!

Mwaka 1988 kijana huyu alifeli mtihani wa darasa la Saba mkoani Mara. Baada ya kupata sufuri Mkoani Mara alienda kwa kaka yake Inspekta Masesa (sasa marehemu) Mkoani Tabora na kurudia darasa la Saba katika Shule ya Msingi Magereza hapo akiitwa MAAGI MULAGA hapo ni 1989 ambapo alifeli tena mtihani wa darasa la Saba kwa mara nyingine! Lakini kijana huyu alipoibuka jijini Dar es salaam akaibuka na ubatizo mpya wa CYPRIAN MAJURA MUSIBA!

Huyu ndiye aliyeapa kupambana na wakosoaji wa Serikali ambapo ama anawalemaza au kuwaua kwa mateso makali!

Huyu ndiye ameapa kupambana na Membe kufa na kupona. Huyu ndiye mtukanaji mkubwa wa wastaafu bila soni! Huku DAB kule MULAGA!
#AchaWoga2020
 
Pascal Mayalla johnthebaptist
 
Watu wenye kiburi na kelele nyingi za kijinga kujipendekeza kupita kiasi mara nyingi huwa kuna jambo wanaficha, haswa ukweli wa maisha yao.
 
Kwenye miaka ya 90 na, akachukuwa cheti cha mtu cha fomu 4, akaingia nacho jeshini (JWTZ). Hakumaliza muda, akafukuzwa....
Aliporudia tena darasa la saba kwa jina la ( ) akabahatika kuingia kidato cha kwanza huko Mafinga na akatimuliwa kidato cha 2 baada ya kuleta uonevu wa kishamba kwa form 1 ambao wakati ule wakiitwa njuka , ambapo alimpa form 1 tsh 5 akitaka aletewe mahitaji ambayo bei yake ilikuwa tsh 850 /=
 
Maagi Mulaga dah.....halafu leo hii wale njiwa wa taifa wanamuamini mtu kama huyu kumkabidhi maMTWARA PRINTING PRESS
 
Back
Top Bottom