Fahamu kuhusu kisiwa cha Cape Verde

Tomahawk

JF-Expert Member
Apr 12, 2015
234
218
1) Cape Verde ni kisiwa kwa muonekano kinafanana sana na Zanzibar.

2) Ili kufika Cape verde ni lazima hutokee moja ya nchi za West Africa sana sana Senegal na nchi za jirani na Senegal kwa maana hakuna ndege za moja kwa moja mpaka Praia.

3) Mji mkuu wa Cape verde ni Praia na sarafu ya nchi iyo uitwa Escudo.

4) Ilikuwa na idadi ya watu laki nne na nusu tu.(nb: yaweza ongezeka) wanawake ikiwa ni laki tatu na wanaume laki na nusu.

5) Watu wa Cape verde ni machotara wa Kireno na Weusi, mfano wa wazawa wa Cape verde ni mwanamitindo maarufu wa Marekani Amber Rose.

6) Raisi wao aliwaomba kila mcape verde wa kiume awe na mahusiano walau na wanawake wawili ili kufanya kila mwanamke apate mwenza.

7) Dunia nzima kuna wa Cape verde million mbili tu(nb: idadi yaweza kuongezeka), wa cape verde wengi wanaishi nchi za ulaya Ureno ikiongoza.

8) Kuna mtanzania mmoja tu tena mwenye asili ya Zanzibar anayeishi na kufanya biashara ya mgahawa nchi Cape verde.

9) Weekend kwa wa Cape verde inaanza Jumatano mpaka Jumapili, (ni wavivu na wapenda starehe pesa zao nyingi utumwa na ndugu zao wanaoishi bara Ulaya).

10) Ukiwa na mahusiano na msichana wa Kicapeverde unaweza kwenda nyumbani kwa wazazi wake na kufanya mapenzi uku wazazi wakiwepo sitting room bila kujali then ukajiondokea bila tatizo lolote wao ni kawaida tu.

11) Kuna wakati team ya mpira wa miguu wa Tanzania (Taifa stars) kipindi cha Maximo kama sikosei ilikuja kucheza na Cape verde wakajaga na Boeing ya Air Tanzania kwa wakati huo, cha ajabu wa Cape verde hawakuwaigi kuona ndege kubwa kubwa kutua mjini Praia na habari zikaenea mji mzima kuwa nchi tajiri imekuja kucheza Cape verde kisa ndege iyo ni kubwa na kwakuwa iliwasubiri wachezaji kwa siku zote walizokuwa Cape verde.

12) Kuna mabinti wazuri sana Cape verde hawa wa kuitwa mapoint five ila usishangae amebeba sinia la ndizi akiuza mjini Praia ni kawaida sana.

13) Cape verde ni nchi inayoongoza kwa Demokrasia Africa.
 
Nimecheka sana hiyo namba 11 Eti...NCHI TAJIRI yaani hii iliyofilisiwa na CCM duh....kweli tembea uone....sasa mkuu ukiacha mambo ya kumiliki ..warembo zaidi ya 1 kuna fursa gani zingine kama Biashara nk
 
Yeeees, nimesoma na baadhi yao mademu wao huko Monterey, California mwaka jana! Walikuwa changudoa wa chuo na hawakuwa na discipline ya wanaume.
 
Nimecheka sana hiyo namba 11 Eti...NCHI TAJIRI yaani hii iliyofilisiwa na CCM duh....kweli tembea uone....sasa mkuu ukiacha mambo ya kumiliki ..warembo zaidi ya 1 kuna fursa gani zingine kama Biashara nk
Danguro
 
Attachments

  • 1452667682893.jpg
    1452667682893.jpg
    94.8 KB · Views: 149
  • 1452667696582.jpg
    1452667696582.jpg
    98.3 KB · Views: 151
  • 1452667714323.jpg
    1452667714323.jpg
    49.6 KB · Views: 171
  • 1452667733983.jpg
    1452667733983.jpg
    23.6 KB · Views: 159
  • 1452667753983.jpg
    1452667753983.jpg
    50.1 KB · Views: 154
  • 1452667769792.jpg
    1452667769792.jpg
    76.8 KB · Views: 161

Similar Discussions

Back
Top Bottom