JESHI la Polisi mkoani Singida limemkamata mkazi mmoja wa jijini Arusha, Amieli Stephano (29), kwa tuhuma ya kujifanya Ofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), mwenye cheo cha luteni...
Kazi Inaendelea Hai,ILANI YA CCM INATEKELEZWA.
Ziara Ya Kustukiza iliyofanywa na Katibu wa CCM wilaya Ya Hai Ndugu Kumotola,akikagua utekelezaji wa ilani ya ccm Katika Kata Ya Bondeni,imekuwa ya...
Mama mmoja mkazi wa kijiji cha Ilkurot wilayani Arumeru mkoani Arusha anatuhumiwa kumuozesha binti yake mwenye umri wa miaka kumi na nne na kupokea mahari ya ng’ombe wawili,mbuzi mmoja na debe...
Ndugu zangu Wapenzi,
TYK.
Kwa majonzi makubwa nasikitika kuwafahamisha kuwa, wapendwa wetu Sister Octavia, Mama Mkuu wa Shirika, Kifungilo na dereva Aminiel wa Kifungilo, wamepata ajali maeneo ya...
Nairobi, Stanbic Bank imepanga kupunguza wafanyakazi mpaka 200 kupitia mpango wa Kustaafu mapema (Chukua Chako Mapema)ili kupunguza gharama za mishahara kwaajili ya wafanyakazi wa Bank Hiyo...
1. Mohamed Suharto,
huyu ni rais wa Indonesia alihudumu kwenye kiti cha urais kutoka mwaka (1967 – 1998) alikaa madarakani miaka 31 can you imagine? Alipiga mzingo wa $ 15 billion mpaka $35...
Habari za majukumu wana wa JF.
Niende madani.
1. Mwaka 2009 nilimwambia Rafiki yangu Magufuli atakuwa Rais huku Mwakyembe akiwa waziri mkuu ikatimia japo sio kikamilifu.
2. Niliwahi kuyawaza...
Mimi nilidhani mipango ya kujenga ubungo interchange na upanuzi wa barabara ya Morogoro kuwa njia sita,tatu kila upande from Ubungo to Chalinze ilikuwa ni mkakati wa kupunguza kama si kuondoa...
Leo katika pitapita yangu katikati ya Jiji nikaibukia Samakisamaki.
Kwa kweli jamaa anaubunifu wa kutosha, pamoja na kuwa huduma zake ni za gharama mno.
Kwa mara ya kwanza nimeingia pale...
Mfanyabiashara Maarufu wa madini,Mwenye asili ya kiasia ,Samiri Patel anayemiliki kampuni ya Madini ya Gyan gems jewellers ltd jijini Arusha, amekamatwa na Polisi mkoani Manyara kwa kosa la...
Je , kuna umuhimu wa kuanzishwa kiwanda cha majembe ya mkono Tanzania au ni vyema tu tukaendelea kutumia fedha adimu za kigeni kuagiza majembe toka China?
Kama nakosea naomba kusahihishwa.
Kilichonileta hapa jukwaani ni baada ya kuiona hii picha sehemu fulani,katika pitapita zangu mitandaoni.
Mara baada ya kuiona hii picha ,moyo ukapiga pah! Aisee...
Nimejaribu kufikiria kuhusu graduate aliyemaliza chuo akiwa amemaliza chuo na yupo muda mrefu nyumbani akiwa bado hajapata kazi amekaa nyumbani hadi inafika hatua anatimiza miaka 30 zaidi na...
Tangu jumanne ya wiki hii kuna operesheni ya kukamata tax bubu lakini style ya ukamataji ni mbaya sana ni kama ujambazi askari wanakamata kila gari ya aina ya tax wakikukuta umepaki wanafungua na...
Kwanza nielezee masikitiko yangu ya kufutwa mada ya "wakiamuakukupata watakupata tuu" sikuona tatizo kwenye ile mada pengine moderator anaweza kusema neno
Lakini sasa ni wazi hamkani si shwari...
Bila kujali unatumika kudhuru ama kuagua huu ndio uchawi ushirikina njia saba
1.mitishamba
2.mazao ya mwili
3.mazao bahari
4.majini
5. Mapepo
6. Kafara la damu
7. Matambiko ya mizimu
Rank za...
Habarini wakuu,
Naomba leo nitoe maoni yangu kama mwananchi huru ndani ya nchi huru.
Nimekuwa mpenzi mkubwa wa maendeleo yanayoletwa na Rais wangu lakini nimekuwa nikikasirishwa mno na watu...
Msaada wa hali na mali unahitajika kuna mama mmoja anamtafuta kaka yake ambaye ni mdogo wake aitwae THOMAS MWAKITALU huyo mdogo wake alizaliwa mwaka 1991 katika wilaya Serengeti kilipokuwa kituo...
Yaani Dar pamoja na kuwa na traffic na watu wengi mikutano sio mizuri maana inazuia shughuli za maendeleo.
Wakati Arusha kuna Hotel za watalii za kutosha na jengo la mikutano AICC vilevile...
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kilombero Abdul Mteketa amefariki muda huu Dar katika hospitali ya Muhimbili.
Poleni Familia na Ndugu na Jamaa.
Mapema, mwaka huu mbunge huyo mstaafu alimuomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.