Stanbic Bank Kupunguza wafanyakazi 200

Stanbic Bank Kupunguza wafanyakazi 200

X-Agent

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
8,973
Reaction score
17,070
Nairobi, Stanbic Bank imepanga kupunguza wafanyakazi mpaka 200 kupitia mpango wa Kustaafu mapema (Chukua Chako Mapema)ili kupunguza gharama za mishahara kwaajili ya wafanyakazi wa Bank Hiyo.

Wachambuzi hii inamaanisha nini ?

Zadi soma The citizen , 30 July 2019 Page 20.
 
Hatari saana kwetu pia imepita 100 wamepigwa chini na bado zoezi linaendelea .
hali sio nzuri kwa kweli.....
 
Afadhali. Mojakati ya vitu vilivyokuwa vinasababisha RIBA ZA MIKOPO kuwa juu ni gharama kubwa ya uendeshaji hususan mishahara na bonus kwa watumishi wa mabenki. Natumai hatua hii itapelekea kushuka kwa riba za mikopo toka Stanbic na kuwapa ahueni wajasiriamali.
 
Naiwe hivyo isije ikawa kupuunguza baadhi ya Branch, na coverage ya Bank.
 
Afadhali. Mojakati ya vitu vilivyokuwa vinasababisha RIBA ZA MIKOPO kuwa juu ni gharama kubwa ya uendeshaji hususan mishahara na bonus kwa watumishi wa mabenki. Natumai hatua hii itapelekea kushuka kwa riba za mikopo toka Stanbic na kuwapa ahueni wajasiriamali.
Kumbuka baadhi ya walioachishwa wana mikopo mibichi .
sidhani kama riba itashuka wakati makampuni mengi yanapunguza wafanyakazi na ndio wateja wa hayo Mabank.
 
Afadhali. Mojakati ya vitu vilivyokuwa vinasababisha RIBA ZA MIKOPO kuwa juu ni gharama kubwa ya uendeshaji hususan mishahara na bonus kwa watumishi wa mabenki. Natumai hatua hii itapelekea kushuka kwa riba za mikopo toka Stanbic na kuwapa ahueni wajasiriamali.
hayaa subiria hiyoo riba ipungue.
ukiwa huna uelewe wa kitu kuwa unapenda kukaa kimyaa.
 
Wametumwa na mabebelu? Mbona tupo vizuri[emoji41][emoji41]
Nairobi, Stanbic Bank imepanga kupunguza wafanyakazi mpaka 200 kupitia mpango wa Kustaafu mapema (Chukua Chako Mapema)ili kupunguza gharama za mishahara kwaajili ya wafanyakazi wa Bank Hiyo.

Wachambuzi hii inamaanisha nini ?

Zadi soma The citizen , 30 July 2019 Page 20.
 
Hawa wanamwangusha mweshimiwa we are on right track tutembee vifua mbele
 
Nasema hivi hawa wametumwa na mabeberu kumchafua Jiwe.
 
Afadhali. Mojakati ya vitu vilivyokuwa vinasababisha RIBA ZA MIKOPO kuwa juu ni gharama kubwa ya uendeshaji hususan mishahara na bonus kwa watumishi wa mabenki. Natumai hatua hii itapelekea kushuka kwa riba za mikopo toka Stanbic na kuwapa ahueni wajasiriamali.
Comment ya Kiroho mbaya kabisa(kimasikini). Utatupatia mrejesho kama hiyo riba itashuka
 
Serikali ya CCM inapenda sana wajinga na maskini wa akili ili wawetumie vizuri. Mtu anafurahia watu kutumbuliwa yaani yeye anafikiri watu wakipunguzwa kazi ndiyo maisha yanakuwa mazuri. Bora uwe maskini wa kipato ila siyo kuwa maskini wa kiakili maana mtu akifirisika, akifukuzwa kazi au akikosa kazi utafurahia. Ndiyo namuona jamaa hapo juu
 
Yaani jamaa ni mbinafsi. sana.
 
Back
Top Bottom