busegwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 527
- 199
Tangu jumanne ya wiki hii kuna operesheni ya kukamata tax bubu lakini style ya ukamataji ni mbaya sana ni kama ujambazi askari wanakamata kila gari ya aina ya tax wakikukuta umepaki wanafungua na funguo zao za bandia halafu ndio mwenye gari anatafutwa kuna watu wawili wamefanyiwa hivi sio maderva tax ila wamekamatwa katika ofisi ya mtendaji kata kaloleni wakiwa wamepaki mbaya zaidi katika operesheni hii ni askari mmoja tu na anaandikisha watu wawili anaenda msikitini kuswali akiludi ni hivyohivyo hii imesababisha foleni kubwa trafik arusha