Kwa akili hii ya TANROAD na watawala wetu sioni foleni zikisha Dar

Sijijui

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Messages
3,521
Points
2,000

Sijijui

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2018
3,521 2,000
Mimi nilidhani mipango ya kujenga ubungo interchange na upanuzi wa barabara ya Morogoro kuwa njia sita,tatu kila upande from Ubungo to Chalinze ilikuwa ni mkakati wa kupunguza kama si kuondoa kabisa msongamano katika barabara hiyo na kuwawezesha watanzania kupunguza gharama zinazosababishwa na msongamano huo.

Sasa badala ya kupunguza msongamano kama plan ya kwanza iliyokuwa,naona sasa tunahamisha foleni toka Ubongo na kuipeleka Mbezi ili kesho atokee malaika mwingine aje kutatua tatizo la foleni Mbezi,hatari sana.
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2008
Messages
10,805
Points
2,000

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2008
10,805 2,000
Foleni kuisha Dar bado sana. Kwa kutumia uzoefu wangu wa kutembea nje zilizoendelea naweza kusema bila wasiwasi kuwa foleni Dar itaendelea kuwa tatizo mpaka hapo hatua nzuri zaidi zitakapochukuliwa.
1. Kuwe na ring roads na Flyovers za kutosha
2. Vyombo vya kubebea abiria viwe vikubwa (kama tunashindwa kuweka trams, trains na metro basi angalau tutumie mabasi makubwa kama ya ya zamani ya Ikarus
3. Vijengwe vituo vizuri na packings nzuri na madereva wavitumie
3. Kuwe na ratiba inayoeleweka na mabasi yaziheshimu
5. Madeveva waheshimu sheria za barabarani (hili ni muhimu sana kwani linachangia zaidi ya asilimia 50 ya foleni)
 
Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
81,332
Points
2,000

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
81,332 2,000
Mimi nilidhani mipango ya kujenga ubungo interchange na upanuzi wa barabara ya Morogoro kuwa njia sita,tatu kila upande from Ubungo to Chalinze ilikuwa ni mkakati wa kupunguza kama si kuongoa kabisa msongamano katika barabara hiyo na kuwawezesha watanzania kupunguza gharama zinazosababishwa na msongamano huo.

Sasa badala ya kupunguza msongamano kama plan ya kwanza iliyokuwa,naona sasa tunahamisha foleni toka Ubongo na kuipeleka Mbezi ili kesho atokee malaika mwingine aje kutatua tatizo la foleni Mbezi,hatari sana.
Naona hiyo nayo itaitwa jina la Mfugale
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
68,734
Points
2,000

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
68,734 2,000
kwa standard za serikali ya ccm,highway zao ndo hizo
Tatizo siyo serikali, tatizo wasomi wetu walisomea ujinga na hao hao tunafanya makosa ya kuwaweka kuwa wafanya maamuzi serikalini.

Hata hao ambao siyo CCM kwa sasa si walikuwa hukohuko CCM, walifanya nini?
 
Sijijui

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Messages
3,521
Points
2,000

Sijijui

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2018
3,521 2,000
Foleni kuisha Dar bado sana. Kwa kutumia uzoefu wangu wa kutembea nje zilizoendelea naweza kusema bila wasiwasi kuwa foleni Dar itaendelea kuwa tatizo mpaka hapo hatua nzuri zaidi zitakapochukuliwa.
1. Kuwe na ring roads na Flyovers za kutosha
2. Vyombo vya kubebea abiria viwe vikubwa (kama tunashindwa kuweka trams, trains na metro basi angalau tutumie mabasi makubwa kama ya ya zamani ya Ikarus
3. Vijengwe vituo vizuri na packings nzuri na madereva wavitumie
3. Kuwe na ratiba inayoeleweka na mabasi yaziheshimu
5. Madeveva waheshimu sheria za barabarani (hili ni muhimu sana kwani linachangia zaidi ya asilimia 50 ya foleni)
[/QUOT
Kama mimi ningekuwa n imwenye maamuzi pale mbezi nisingejenga vile,kile kilichojengwa kwenye ile barabara ndogo inayochepuka kwenda Malamba was the right thing kufanywa mkutano ya barabara y morogoro na hii ya Goba to Malamba
 
Sijijui

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Messages
3,521
Points
2,000

Sijijui

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2018
3,521 2,000
Tatizo siyo serijali, tatizo wasomi wetu walisomea ujinga na hao hao tunafanya makosa ya kuwaweka kuwa wafanya maamuzi serikalini.

Hata hao ambao siyo CCM kwa sasa si waliwa hukohuko CCM, walifanya nini?
Shida ni ccm,nafasi za kuteuana ambazo ndo zinapelekea ujinga huu kwa kuwa na incompetent individuals watanzania walikuwa wameukataa kupitia katiba mpya ya walioba ila wafia tumbo wa ccm wakaona sasa watakula wapi maana they are incompetent na they can't compete anyhow
 
Ndalama

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2011
Messages
8,755
Points
2,000

Ndalama

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2011
8,755 2,000
Tueleweshe tafadhali

Japo mi kwa kuongeza huduma muhimu zitoke katikati ya mji, utajenga highway kisha mwisho wa highway unakutana na foleni, sasa hivi tu kwa mfano magari yanakimbia toka Tegeta yakifika Morocco back to square uno

Njia ya pekee ya kumaliza foleni Dar ni kuwa na ring road ambayo ni highway.
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
68,734
Points
2,000

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
68,734 2,000
Tueleweshe tafadhali

Japo mi kwa kuongeza huduma muhimu zitoke katikati ya mji, utajenga highway kisha mwisho wa highway unakutana na foleni, sasa hivi tu kwa mfano magari yanakimbia toka Tegeta yakifika Morocco back to square uno
Ring road ni highway inayozunguka jiji na kukutana yenyewe, inakuwa na "exits" nyingi kikw baada ya umbali fulani.

Kwa mfano kwetu kwa kuwa si jiji kubwa sana la kutisha ingejengwa highway itayozunguka kilomita 30 kila upande na exits ziwe kila kilometer mbili na iwe na uwezo wa lanes nane. Nne za kwenda nne za kurudi.

Ni gharama lakini ndiyo solution ya pekee ya kudumu. Zingine tunajisumbua tu kwani zina "ease conjunction" lakini haziimalizi.
 
Sijijui

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Messages
3,521
Points
2,000

Sijijui

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2018
3,521 2,000
Tueleweshe tafadhali

Japo mi kwa kuongeza huduma muhimu zitoke katikati ya mji, utajenga highway kisha mwisho wa highway unakutana na foleni, sasa hivi tu kwa mfano magari yanakimbia toka Tegeta yakifika Morocco back to square uno
Mkuu hata kwa wenzetu,nenda Washington, nenda New York, nenda Chicago huduma muhimu zipo down town,ila ukishatoka down town,kwa mfano Kwa Dar useme ukishafika pale Jangwani ukutane na highway ya ukweli ambayo hakuna Zebra crossings, hakuna magari yanayokatiza barabara na barabara zote zinazoingia atleast zina lane yake angalau ya kilometa moja.Bahati mbaya barabara zetu zinajengwa kiccm ccm na kwa standard wanazojua ccm pekee
 
Sijijui

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Messages
3,521
Points
2,000

Sijijui

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2018
3,521 2,000
Ring road ni highway inayozunguka jiji na kukutana yenyewe, inakuwa na "exits" nyingi kikw baada ya umbali fulani.

Kwa mfano kwetu kwa kuwa si jiji kubwa sana la kutisha ingejengwa highway itayozunguka kilomita 30 kila ypande na exits ziwe kila kilometet mbili na iwe na uwezi wa lanes nane. Nne za kwenda nne za kurudi.

Ni gharama lakini ndiyo solution ya pekee ya kudumu. Zingine tunajisumbua tu kwani zina "ease conjunction" lakini haziimalizi.
Kule Arusha EAC wametusaidia lakini still hatukuweza kuepuka standard za ccm
 
Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Messages
2,433
Points
2,000

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined May 15, 2017
2,433 2,000
Njia ya pekee ya kumaliza foleni Dar ni kuwa na ring road ambayo ni highway.
Ring road zenyewe zinajazwa matutaa! Zamani nilikuwa natumia dk 15 kutoka Kinyerezi mpaka Mbezi Louis kabla bara bara haijawekwa lami, lakini tangu iwekwe lami, sasa hivi natumia zaidi ya nusu saaa... Yale matuta ukiruka utavunja chasis ya gari ndani ya miezi sita.
Kuna siku wamama wawili wakajichanganya kuomba lift pale Kinyerezi eti wanaelekea Malamba mawili... Walijuta kupanda ile gari... Maana nadhani ndio ilikuwa mara yao ya kwanza kupanda gari ya kwenye "Rally'...
 
Toto Zembe

Member
Joined
Jul 15, 2019
Messages
74
Points
125

Toto Zembe

Member
Joined Jul 15, 2019
74 125
Unajua hata pale ubungo mataa zamani kabla awajaweka round ya mda mfupi kwa jili ya ujenzi palikuwa na foleni isiyo isha,je kama wangeli gundua toka zamani kuweka round about isingeli kuwepo foleni iliyo tusumbua,mimi nadhani wataalam wetu wangekutana tena wajitathimini.
Mimi nilidhani mipango ya kujenga ubungo interchange na upanuzi wa barabara ya Morogoro kuwa njia sita,tatu kila upande from Ubungo to Chalinze ilikuwa ni mkakati wa kupunguza kama si kuondoa kabisa msongamano katika barabara hiyo na kuwawezesha watanzania kupunguza gharama zinazosababishwa na msongamano huo.

Sasa badala ya kupunguza msongamano kama plan ya kwanza iliyokuwa,naona sasa tunahamisha foleni toka Ubongo na kuipeleka Mbezi ili kesho atokee malaika mwingine aje kutatua tatizo la foleni Mbezi,hatari sana.
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
68,734
Points
2,000

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
68,734 2,000
Ring road zenyewe zinajazwa matutaa! Zamani nilikuwa natumia dk 15 kutoka Kinyerezi mpaka Mbezi Louis kabla bara bara haijawekwa lami, lakini tangu iwekwe lami, sasa hivi natumia zaidi ya nusu saaa... Yale matuta ukiruka utavunja chasis ya gari ndani ya miezi sita.
Kuna siku wamama wawili wakajichanganya kuomba lift pale Kinyerezi eti wanaelekea Malamba mawili... Walijuta kupanda ile gari... Maana nadhani ndio ilikuwa mara yao ya kwanza kupanda gari ya kwenye "Rally'...
Hiyo siyo ringroad. Ni heri ukae kimya tu. Hatuna ringroad Tanzania mpaka leo hii.
 
Sijijui

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Messages
3,521
Points
2,000

Sijijui

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2018
3,521 2,000
Ring road zenyewe zinajazwa matutaa! Zamani nilikuwa natumia dk 15 kutoka Kinyerezi mpaka Mbezi Louis kabla bara bara haijawekwa lami, lakini tangu iwekwe lami, sasa hivi natumia zaidi ya nusu saaa... Yale matuta ukiruka utavunja chasis ya gari ndani ya miezi sita.
Kuna siku wamama wawili wakajichanganya kuomba lift pale Kinyerezi eti wanaelekea Malamba mawili... Walijuta kupanda ile gari... Maana nadhani ndio ilikuwa mara yao ya kwanza kupanda gari ya kwenye "Rally'...
Mkuu matuta ni primitive style ya ccm kucontrol speed,njia hii kwenye nchi zinazotuzunguka inatumiwa na Tanzania tu under ccm, Malawi na umasikini wao nchi nzima kuna matuta matatu tu nayo yamewekwa kwenye bypass ya lilongwe
 
Forum statistics

Threads 1,382,678
Members 526,439
Posts 33,833,594
Top