Tanzia: Sister Octavia, Mama Mkuu wa Shirika, Kifungilo na dereva Aminiel wafariki dunia kwenye ajali Same

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,606
696,727
Ndugu zangu Wapenzi,
TYK.

Kwa majonzi makubwa nasikitika kuwafahamisha kuwa, wapendwa wetu Sister Octavia, Mama Mkuu wa Shirika, Kifungilo na dereva Aminiel wa Kifungilo, wamepata ajali maeneo ya Same na wameitwa na mwenyezi Mungu.

Tunamwomba Mungu awajalie raha ya milele na kuwaangazia mwanga wa milele, wapumzike kwa amani.

Amina.

Mwenyekiti - PTA, Kifungilo GSS.
 
RIP Sister na Dereva
R.I.P sister n drive
.
IMG-20190704-WA0129.jpeg
IMG-20190704-WA0128.jpeg
 
Halafu pale Same si pamenyooka sana!au ni upepo mkali na mavumbi,maana ule upepo wa maeneo yale sio wa kawaida,Pole kwa wafiwa..
 
POLENI SANA KWA MSIBA HUO, Mwenyezi Mungu azipokee roho za marehemu wapendwa wetu wote uliowaita toka hapa duniani, Amina
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom