Tutu kalundji JF-Expert Member Joined Sep 19, 2023 Posts 532 Reaction score 1,286 Jun 22, 2026 #1 Hawa wanandugu huwa wanapitia mengi,tusiwalaumu kutokujenga wa kusomesha Attachments FB_IMG_1782156132450.jpg 112 KB · Views: 6
Suleiman 1988 Senior Member Joined Mar 27, 2026 Posts 102 Reaction score 168 Jun 22, 2026 #2 Boda boda wako amekuadithia ?
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 17,136 Reaction score 24,535 Jun 23, 2026 #3 Wakati wa kampeni ccm wanawaita ma ofisa isafirishaji Baada ya uchaguzi wanatakiwa Sasa wachangie 1000 kwa siku kujenga barabara Twafa
Wakati wa kampeni ccm wanawaita ma ofisa isafirishaji Baada ya uchaguzi wanatakiwa Sasa wachangie 1000 kwa siku kujenga barabara Twafa
James Hadley Chase JF-Expert Member Joined Mar 25, 2020 Posts 2,145 Reaction score 3,964 Jun 23, 2026 #4 Pale Kariako ndio kuna mtiti kwelikweli kati ya LATRA na bodaboda