Kuna tabia moja huwa siielewi kabisa nikiona mshikaji anakuwa nayo namuona snitch.
Mnakutana kunywa pombe na lengo kuu linakuwa ni kulewa mnakunywa mpaka usiku mkubwa, kila mtu anafanya vituko...
Happy Father’s Day kwa mababa wote.
Leo ni siku ya kuwakumbuka na kuwaheshimu wanaume ambao kwa njia moja au nyingine wamekuwa nguzo kubwa kwenye familia zetu. Wengine wamekuwa wakali, wengine...
April 24, 2025 Liliwekwa jiwe la Msingi wa Ujenzi wa Barabara ya kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa Kilomita 41, ambapo jiwe hili liliwekwa na Raisi wa Zanzibar Mh. Hussein Ali Mwinyi...
Leo unakutaka na mtoto wa samia au mwiguru,wasira,kikwete,sirro,mwiguru,mombo na wengine wengi wabagazaji.
Ushauri wao kukupa matumaini wakikwambia maneno haya.
1.Achana na wazo la kuajiliwa...
Kumemekuwa na kawaida viongozi wengi wakiwemo Mawaziri kutembea na misafara mikubwa wanapokwenda kwenye ziara zao ikiwemo kuwasafirisha waandishi wa habari kila waendako. JE hizi bajeti hutoka wapo?
Habarini wanajf,
Kuna rafiki yangu yeye kila ikikaribia shule kufunguliwa huwa anachanganyikiwa mpaka huruma.
Nawauliza waTz huko kupeleka watoto wenu wapendwa shule zanye kutumia lugha ya...
Kuna mtu kila fikra itakayotoka imejaa negativity
Kila comment atakayotoa ni ya masimango na udharilishaji
Kila hoja atakayo toa imejaa uchungu.
Ukiwa leyman, utadhania wewe ndio mwenye tatizo...
Wakazi wa Kimara King'ongo tumekuwa tukiteseka kwa kukosa huduma ya maji. Tangu maji yalipotoka Juni Mosi baada ya kulalamika Makao Makuu, hayajatoka tena.
Hili si jambo la kwanza kutokea. Mara...
Wanasayansi wamefanikiwa kwa mara ya kwanza kuchora ramani ya neva za kisimi, hatua inayotajwa kuwa muhimu katika kuongeza uelewa wa kisayansi kuhusu afya ya wanawake.
Utafiti huo uliofanywa na...
Nikiwa namalizia vacation yangu ndani ya Dasalamu, napenda kuwashukuru wahudumu wa pssf twin tower block A kwa mapokezi mazuri lakini fanyeni usafi vyumba vyenu.
Haiwezekani kwa bei yenu hiyo...
Jiwe alikuwaga mchoyo na mbinafsi sana. Hakupenda walinzi wake wawe na furaha na exposure.
Safari ya nje ya nchi ilikuwa tu Kenya, Rwanda, Burundi na Ethiopia. Jest imegine!
Mama kusema kweli...
Mbona Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Nigeria, Ghana, south Africa mabinti wanavaa hivi mtaani na ni kawaida?
Lakini huku kwetu binti akivaa hivi mbele ya umma au maeneo ya wazi ni gumzo! Wengi...
KWA NINI FILAMU ZETU HAZIGUSI HISIA ZA WATAZAMAJI KIKAMILIFU? BONGO MOVIE NA CHANGAMOTO YA CULTURAL IMMERSION
Anaandika Robert Heriel Mtibeli.
Mwanasaikolojia Mtunzi.
Leo Mtibeli nitaleta mjadala...
Imeibuka tabia, wanafunzi waliosoma pamoja "alumni", watu walioishi mtaa mmoja, Ukoo mmoja na kabila, Parokia au jumuia moja, kuanzisha vikundi vya Watsup na baadae kujisajili kuwa Rasmi...
UOGA ndo kitu kinachoweza kuelezewa kwanini mpaka sasa hutaki kuacha kazi, lakini hio kazi utaiacha mwishowe kwa lazima ukifika umri flan. Kama ipo siku lazima utafukuzwa kwa lazima ama kustaafu...
Hii ni moja ya mbinu zinazotumiwa na matapeli mtandaoni. Mara nyingi hujitangaza kwenye mitandao ya kijamii wakionesha bidhaa, kisha huomba utume malipo kabla ya kukupatia bidhaa. Baada ya kupokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.