A
Anonymous
Guest
Naomba mamlaka husika zichukue hatua dhidi ya baadhi ya waendesha BODABODA wanaoweka vijiwe visivotambulika katika mtaa wa KIBAMBA LUGURUNI ambao wamekuwa wakijihusisha na vitendo vya uhalifu na kuwatishia usalama wakazi.
Kumekuwa na matukio ya uporaji,wizi na unyang’anyi yanayohusishwa na madereva wa BODABODA, hasa nyakati za usiku.
Tunaomba uchunguzi ufanyike na doria ziongezwe ili kulinda usalama wa wananchi.
ZAIDI VIJIWE VYA BODABODA VIWEPO VILIVOSAJILIWA.