Huu ni ukweli usiopingika, vijana wa hovyo hovyo wa mikoa hiyo ndio ukimbilia huko, angalia hata majina yao utabaini hata DADA zao pia nao wakijitahid ni uarabuni kazi za ndani.
Ila vijana wa...
Hili naliandika kwa uchungu mno kwakuwa waathirika ni wengi na hata pengine baadhi ya wana JF ni wahanga.
Maisha yanatufunza mengi yanatuonyesha mengi na yanatufunulia mengi
Kuna familia...
Mkuu wa mkoa wa DSM mh Chalamila nikiwa kama raia mzalendo mwenye mapenzi na jiji la DSM nakupongeza sana kwa mawazo yako uliyoyasema kuhusu mabasi yanayofika shekilango yamekuwa kero sana katika...
Dah aloo hivi jitu ambalo huliwezi kupigana nalo likakuonelea yani anaweza kua mkubwa kwako au kazidi kua na mwili mkubwa kifupi anaogopeka vp wewe anapokukolomea kukuonelea kukudharau hata mbele...
Msanii Mkongwe wa Bongo Fleva, Juma Nature akielekezea changamoto ya malori mengi maeneo ya Mbagala ambapo anadai yamekuwa kero na kusababisha udumbufu mkubwa.
Nature, staa wa Sitaki Demu na...
Ndugu wana jukwaa, leo naomba nilete hii hoja kwenu.
Sisi Waganga wa Tiba Asili au Waganga wa Kienyeji Mkoa wa Simiyu, tumechoka na michango ya lazima kwa ajili ya Mwenge.
Kila Mwaka tumekuwa...
Tupeni pole sisi wakazi tunaotumia barabara ya Kilwa (Kilwa Road)kupitia Mbagala Rangi 3 - Temeke, Dsm.
inawezekana walioamua uwekezaji waliangalia pesa itakayoingia lakini hawakuangalia athari...
Siku ya Mitandao ya Kijamii Duniani inayoadhimisha Juni 30 ya kila mwaka, ilianzishwa na mtandao wa Mashable mnamo mwaka 2010, adhimisho hili la kimataifa linaangazia mapinduzi makubwa...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema kutoa Kitambulisho cha Taifa (NIDA) unapotembelea nyumba ya kulala wageni hakumaanishi kuanika taarifa binafsi, kwani kitambulisho hicho...
Habari
Hii siyo kero ni pongezi
Kwa madaktari wa Hospital ya RUFAA MBEYA.
Nimekuwa nikifanya Checkup mara kwa mara hospital ya rufaa Mbeya ,nimekutana na
1.watunza Kumbukumbu wanaosikiliza mtu...
Jamani tuachane na maelezo ya kawaida I need genuine explanation. Kuna jitu litajibu Kikawaida, nataka psychological, cultural, biological and scientific reasons
What causes fear, na why do we...
Familia natumai mko poa sana!
Kuna nimekutana na habari mahali fulani kiukweli inahuzunisha kwa kiwango chake.
Ipo hivi....
Kuna jamaa alikuwa kwenye mahusiano na mwanamke (single mama) wakaishi...
Habari za Wakati Wanajamvi
Mimi ni mtumishi Katika Halmashauri X Niko Chini ya TAMISEMI. Kuna Changamoto na Sijui kama Ndio kutuzuga Kwamba mnaruhusu watu kuhama ikiwa tu amekudhi vigezo vya...
Hamza Hassan Mohammed ni mwanachama wa CCM kutoka Upanga Magharibi na ni mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM wilaya ya Ilala, ambaye ameshiriki hadi kampeni za kumuombea kura JPM mikoa kadhaa mwaka...
Nimewasikia watu Wakisema dah huyu jamaa ana bati sana, hii ni mara baada ya kufanikiwa katika jambo fulani.
Hivi ni kweli watu wana bahati au ni kwa sababu ya kupambana