Katika miaka ya karibuni, Tanzania imeingia katika kipindi ambacho watu maarufu wana ushawishi mkubwa kuliko taasisi zilizokuwa zinajenga maadili hapo awali, kama familia, kanisa, shule na jamii...
Kama mpo humu basi hii inawahusu kwanza customer care sijui mnaweka wanawake single maza maana wana kauli mbaya pia wa kiume nao hovyo kabisa sijui mme weka wale wenye misongo ya mawazo
Kitu...
Habari za jioni wadau,
Leo nimekuja na kaswali kadogo tu la udadisi, lakini nina uhakika majibu yetu yatatufumbua macho wengi kuhusu tabia zetu za matumizi ya mtandao hapa Tanzania.
Sote tunajua...
Kuna mtazamo umejengeka kwa muda mrefu kwamba mtu akiishi Dar es Salaam ndiye amefanikiwa zaidi au ndiye mwenye akili ya kutafuta maisha kuliko wengine.
Mtazamo huu si sahihi na una madhara...
Napenda kuwasilisha kero yangu kuhusu kampuni za mikopo ya mtandaoni.
Serikali ilitangaza hatua za kudhibiti na kuchukua hatua dhidi ya kampuni zilizokuwa zikikiuka sheria na haki za wakopaji...
Usisubiri mpaka ufikishe miaka 30 ndio uanze kufikiria kujitegemea.
Kama hujaajiriwa serikalini au kwenye kampuni yenye nafasi nzuri ya ukuaji, jitahidi kujenga kitu chako mapema. Iwe ni ofisi...
Jana nilikua naangalia filamu moja ya Kikorea inaitwa A TAXI DRIVER (2017).
Niliamua kuitizama bila kujua plot yake, nikawa najichekea zangu tu maana ilianza kama light comedy.
Mara... taratibu...
Polisi na jeshi kuonekana mtaani na vituoni baadhi ya maeneo kuna gari za maji washawasha kuna nini?
Kama kuna anayejua hili jambo nielewesheni maana hatujazoea vita au virugu.
Wanawake tunapovaa Suruali, hapa mbele hujichora alama ya “V”.
Je, wanaume huwaza kitu gani?
Iwapo sisi tukiona zipu zao za suruali ni ndefu tunapata mawazo na msisimko je wao wakiona mchoro...
Zamaradi..
Katika chapisho lake leo huko Instagram.. Kaongelea namna safari ya mwanaume inakuwa ngumu.
Kaelezea how society na mifumo yake haimfavor mwanaume..
Kaelezea how majeraha yetu...
Wakazi wa Kijiji cha Manga, Mkoa wa Singida, tunaomba msaada wenu kuhusu changamoto kubwa ya upatikanaji wa huduma ya maji, tumefikisha takribani miezi miwili bila kupata huduma ya maji. Hata...
Anaandika Askofu Mwamakula
______________________
JE, UNAJUA SABABU ZA SHEIKH MWAIPOPO KUTAKA 'KUWATAHIRI WATU BILA GANZI'?
Wiki hii kaibuka Sheikh Mwaipopo, kaita press na kutamka maneno...
Leo nimewawaza sana wale watumishi wanaopitia madhira na manyanyaso, mateso na wakati mwingine kutengwa kazini kwao. Katika semina zangu za Uongozi wa Kimkakati, Itifaki, Maadili ya Uongozi na...
Ni wiki sasa inakwenda, wakazi wa kata ya Sombetini hatuna huduma ya maji safi. Hakuna taarifa yoyote toka kwa mamlaka husika ya maji safi na maji taka ya jiji la Arusha (AUWSA) huku wananchi...
Siku kadhaa zilizopita (Juni 23, 2026) niliandika kuhusu mazingira ya katika stendi ya mabasi madogo ya Makoroboi jijini Mwanza kuwa na uchafu mwingi.
Nilieleza uchafu huo umekuwa ukitoa harufu...
Nimekuwa nikisikiliza wabunge wakiomba mikoa yao kuunganishwa na umeme wa Gridi ya Taifa
Je hiki kitu kina manufaa gan kwa nchi?
Maana kwa mtazamo wangu naona kama nchi nzima kuwa na mfumo...
Kwa kuwa nimeamua kuwa balozi mtiifu wa Amani katika nchi yangu ninayoipenda,sitachoka kuwafunda wale wanafiki wachache wanaojifanya watanzania huku wakiishi ng'ambo bila kujua adha tunayoweza...
Watendaji wa halmashauri ya wilaya ya mkuranga wanatoza ushuru wa manunuzi ya viwanja vya futi 50/40 kwa wananchii wanayonunua viwanja hiyo.
Huku wakitambua kuwa ni kosa kisheria kuuza viwanja...
Wagonjwa 14 wamefanikiwa kufanyiwa upandikizaji wa uume katika Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Benjamini Mkapa (BMH) tangu kuanza kwa huduma hiyo mwaka 2023 hadi sasa huku changamoto ya wagonjwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.