KwetuKwanza
Senior Member
- Mar 13, 2023
- 124
- 238
Ndugu wana jukwaa, leo naomba nilete hii hoja kwenu.
Sisi Waganga wa Tiba Asili au Waganga wa Kienyeji Mkoa wa Simiyu, tumechoka na michango ya lazima kwa ajili ya Mwenge.
Kila Mwaka tumekuwa tunachangishwa tena kwa lazima, usipochanga unawekewa vikwazo na vitisho kibao.
Kila Mwaka tunachangishwa, kwanini Serikali isiwekee bajeti Mwenge, Kwanini watu tuchangishwe? Tena kwa lazima?
Tumechoka kuchangishwa hela za Mwenge kila mwaka. Lakini Ma-Sheikh na Wachungaji wao wanaachwa wakati wote tunatoa huduma sawa kwenye jamii.
Serikali iwe inautengea mwenge bajeti yake.