Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu nadhani mmekuwa mashahidi. Huku mtaani vijana wengi wameota mvi kama pamba. Wataalamu hii inasababishwa na nini inakuwaje kijana wa miaka 25 amejaza mvi kichwani kumzidi hadi baba yake...
4 Reactions
41 Replies
581 Views
  • Redirect
https://www.youtube.com/watch?v=nH2_Oh62BAk
1 Reactions
– Replies
– Views
Tumsifu Yesu Kristu......Ningependa kunukuu maandiko matakatifu ya Yesu mwenyewe katika injili ya Luka 17:21 "Na alipoulizwa na Mafarisayo, Ufalme wa Mungu unakuja lini? Aliwajibu akasema, Ufalme...
7 Reactions
133 Replies
965 Views
Waziri Wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesema ujenzi wa bwawa la Farkwa ni mpango kabambe wa Serikali kuondosha changamoto ya maji kwa wakazi wa jiji la Dodoma na maeneo jirani. Amesema hayo...
0 Reactions
0 Replies
93 Views
Hili jambo lipo na linaratibiwa na maagizo toka kwa CCM. Mfano mzuri ni Sheikh Mwaipopo wala hakuna kuficha. Nitarudi miaka ya nyuma kidogo kuanzia 2015 kushuka chini. Mwenyekiti CCM wa eneo A...
2 Reactions
3 Replies
100 Views
Taa za Kuongozea magari zilizopo eneo la Biafra, Kinondoni zimeanza kufanya kazi baada ya kuwa na changamoto ya kutowaka, hali ambayo ilisababisha Mdau wa JamiiForums.com kueleza kuwa hali hiyo ni...
1 Reactions
0 Replies
286 Views
Moja kati ya kazi zenye watoa huduma wasiojua kujali wateja ni makondakta wa daladala 1: Kuwa wakali sana kwa wateja au abiria Hii ni moja kati ya kero kubwa sana kwa abiria hawa jamaa hawajali...
1 Reactions
8 Replies
109 Views
Kuna makabila mengi hapa Tz, hata Watutsi utawakuta ila wapo wachache sana, hivyo tuyaguse makabila ambayo angalau yanafikia hata watu laki Wajaluo wapo wilaya ya Rorya mkoa wa Mara, kwa upande...
3 Reactions
17 Replies
306 Views
Hakuna kazi ya mwanadamu isiyo na kasoro (inayokamilika kwa asilimia mia moja). Kasoro ni matokeo ya asili yetu ya kibinadamu ya kutokamilika, uchovu, na mipaka ya ufahamu wetu. Hata hivyo, ukweli...
1 Reactions
4 Replies
108 Views
  • Redirect
Hakuna kauli wala polisi yoyote mwenye kumzuia mwaipopo. Kinachotengenezwa sasa mnataka kuona vikundi ambavyo mumenyamaza kuzani mnakomoa chadema. Polisi kama mpo JF mkamateni mwaipopo na...
1 Reactions
– Replies
– Views
Hivi ndoto kama hz hua zinasababishwa na nini?. MTU MTU KUOTA ANAONGEA NA UKIMUINGILIA KWENYE HAYO MAONGEZI MNAWEZA KUONGEa LAKINI YUKO NDOTONI AKIAMKA KASAHAU? 2. Mtu kuota anatoka nje mwenyewe...
1 Reactions
3 Replies
73 Views
Nimeishia kuandika heading ya kimombo halafu huku chini natiririka kibantu.. Usinipige mawe.. Nimekosa maneno sahihi mafupi yanayotoshelea heading.. Ngoja sasa nifafanue Denial state inatokana na...
13 Reactions
44 Replies
5K Views
Gen Z kuanzia miaka 18-28 matumizi ya POMBE, SIGARA, P2 na utoaji MIMBA yamekithiri. Katika maswala ya kiufundi, huwa wana mtindo wa kutumia madawa ya kubana Uke, kuongeza uteute na nyingine...
1 Reactions
17 Replies
198 Views
Baadhi ya waislam wanaacha swala ya Alfajiri na kukaa ktk TV kuangalia kombe la Dunia. Hili ni kosa kubwa kwa muislam tena dhambi kubwa. Quran unasema: "Hakika Swala imefaradhishwa kwa Waumini...
1 Reactions
2 Replies
101 Views
Mugonile wandu wakyala Ama kweli akili za kuambiwa changanya na zako Ulipiga kelele sana baada ya kusikia dada Yako anashawishiwa kuachishwa kazi na mume wake baada ya kuolewa ......Leo hii...
8 Reactions
25 Replies
263 Views
Hivi majuzi kumekuwa na minong’ono chini kwa chini kwenye korido za wasomi na mitandao ya kijamii. Watu wanahoji: "Kwanini teuzi za Makamu Wakuu wa Vyuo Vikuu (Vice Chancellors) hapa nchini...
5 Reactions
16 Replies
524 Views
Wakuu na leo tena grid limepata kisulisuli au ni huku kwetu tu? Saa moja jioni na dk18 hivi wamekata tena sijui tena ni Tanzania nzima kama juzi. Tujuzane jamani.
3 Reactions
18 Replies
333 Views
Chumvi ya mawe (au rock salt) imekuwa ikitumika kwa maelfu ya miaka si tu kwa kupikia, bali pia katika matumizi ya kiroho na kitabia katika jamii nyingi duniani. Hapa chini nitakuelezea: 🌿...
5 Reactions
12 Replies
13K Views
Sio kwa wivu wala kwa ubaya hata matajiri wengi wemetumia foundation mfano marehemu mengi.Na wengine wanatumia mfumo wa foundation. Ila nimeona sio jambo zuri kuweka wazi ila kama unataka ukwepe...
0 Reactions
8 Replies
260 Views
Back
Top Bottom