Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mm ni dereva boda nataka kupata kampuni ya kudeliver mizigo kwa wateja.. Napatikana mwanza sifa na vigezo vyote ninazo ikiwemo dhamana...kwani ni mtumishi japo cjabanwa sana kazini
1 Reactions
1 Replies
82 Views
Kuna miezi fulani alitokea jamaa Tiktok kwa jina la HABIL and KABIL, aliteka masikio ya wananchi wengi kwa stori zake za kuhusu maandamano, lakini ghafla bin vuu jamaa hasikiki tena. Ilikuaje ama...
2 Reactions
9 Replies
198 Views
Nimepata taarifa za kikachero. Ni kwamba Uzi wa rikiboy, 'kula tunda kimasihara' unazidi kusaidia CHAPUTA kujipatia wanachama wengi zaidi. Duru zunadai kuwa new membaz wanazidi kuufufua Uzi ule...
15 Reactions
44 Replies
726 Views
Unahitaji kuwa makini sana kumtoa mbu aliyetua kwenye korodani zako
2 Reactions
15 Replies
204 Views
Najua kufa ni lazma lakini wakati mwingine ukituliza akili ukaona /tizama kwa mwenye uelewa hakuna anaependa kifo. Lakini kuna mda unawaza au hiki kifo kwa nini kimekuwepo ukiangalia ndugu...
1 Reactions
10 Replies
125 Views
MV Bukoba ilikuwa feri iliyokuwa ikitoa huduma ya kubeba mizigo na abiria katika Ziwa Viktoria kati ya bandari za Bukoba na Mwanza. Tarehe 21 Mei 1996 ilizama kwenye njia ya kuelekea Mwanza...
4 Reactions
129 Replies
10K Views
Wakuu mlishawahi kushuhudia mateso anayoyatoa huyu ndege kwa nyoka wanaotajwa kuwa hatari sana ukanda wa savanna? Yaani leta huyo KOBOKO, leta swila, leta puff adder wote lazima wapoteze maisha...
7 Reactions
25 Replies
549 Views
kuna jambo ambalo wanaoishi mikoani wata tupa mrejesho ijalishi ni mtumishi,umejiajili au umekwenda kutafuta maisha. Kitu ambacho nimegundua mikoa yote ya tanzania ondoa dar kuna unyanyasaji wa...
1 Reactions
2 Replies
99 Views
EWURA Hakuna excuse sahivi. Petrol na Diesel ziwe under 3,500 Tsh kwa July, hafu August ndio isivuke 3,000 Tsh. Masaa machache yajayo tunasubiria mkeka wenu.
1 Reactions
1 Replies
72 Views
Sio kwa ubaya, ila najiuliza huwa wanafuata nini huku Africa wakati nchi yao imeendelea sana Najua watu watasema Wachina wamefuata madini, ila trust me wachina wengi tunaowaona mtaani hata sio...
18 Reactions
74 Replies
2K Views
Sifa Kuu ya Nafsi ni kujihesabia haki hata kama imekosea, ni vigumu kukubali makosa, Sio Ajabu ukaona Mtu badala ya kutengeneza Mambo, anazidi kuharibu, kwani tayari Moyo Umeumia. Na watu...
0 Reactions
3 Replies
100 Views
VIONGOZI waliosimamishwa na Baraza la Taifa la Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wataendelea kuwa nje ya nafasi zao za uongozi hadi Mahakama ya Mkoa wa Dodoma itakapotoa uamuzi katika kesi...
0 Reactions
0 Replies
157 Views
📚 VITABU, VITINI NA MITIHANI YA SHULE ZA MSINGI VINAPATIKANA 📚 Je, wewe ni mzazi, mlezi, mwalimu au unamiliki shule ya msingi? Tunatoa vitabu na vifaa mbalimbali vya kujifunzia kwa Shule za...
0 Reactions
3 Replies
141 Views
Watakatifu wa kikristo Sergius na Bacchu ni mashoga wawili walipendana zama za utawala wa kirumi mnamo karne ya 3 Walipokufa wakafanywa watakatifu katiak dini ya ukristo, na leo hii kuna...
1 Reactions
20 Replies
470 Views
Dunia imewahi kushuhudia watu ambao walikabili hali ambazo karibu kila mtu angeamini hakuna uwezekano wa kupona. Hawa hapa ni baadhi yao: 1. Vesna Vulović (1972) – Alianguka kutoka urefu wa...
13 Reactions
29 Replies
650 Views
Hivi hakuna chombo chochote cha kufuatilia aina ya matangazo ambayo makampuni wanayaandaa kabla hayajatangazwa kwa umma? Ilipokuwa ikiitwa TIGO hawa jamaa walituletea msemo kwenye tangazo lao...
14 Reactions
47 Replies
795 Views
Ni mtu ambae alipata pata viskendo humu ambavyo nisingependa kuvizungumzia. Yu mwema, yu hai?
0 Reactions
3 Replies
70 Views
Huu ni ukweli usiopingika, vijana wa hovyo hovyo wa mikoa hiyo ndio ukimbilia huko, angalia hata majina yao utabaini hata DADA zao pia nao wakijitahid ni uarabuni kazi za ndani. Ila vijana wa...
2 Reactions
3 Replies
92 Views
Back
Top Bottom