Chumvi ya mawe (au rock salt) imekuwa ikitumika kwa maelfu ya miaka si tu kwa kupikia, bali pia katika matumizi ya kiroho na kitabia katika jamii nyingi duniani. Hapa chini nitakuelezea:
🌿...
Sio kwa wivu wala kwa ubaya hata matajiri wengi wemetumia foundation mfano marehemu mengi.Na wengine wanatumia mfumo wa foundation.
Ila nimeona sio jambo zuri kuweka wazi ila kama unataka ukwepe...
Kumbukumbu zangu zinakumbuka mmiliki wa mtandao huu alikamatwa na mtandao huu ulifungiwa. Taarifa za wakati ule zilionyesha ni mtoto wa kigogo flani na aligundulika baada ya kumzalilisha Rais...
Kama mada inavojieleza hapo juu nimeota nasafisha mitaro ya barabarani
Ila wapita njia walikuwa wananipa moyo na kunifariji kuwa hivi karibuni naweza kupata tuzo au faida kubwa kwa kazi hiyo ya...
Habari,
Mimi ni mhanga wa tukio la utekaji na mateso lililonitokea mwezi Agosti mwaka 2025, tarehe 25, baada ya kuitwa Dar es Salaam na mzazi mwenzangu ili kwenda kumchukua mtoto.
Nilipofika...
Hii mada sikuweza kuwasilisha vizuri ila nitarudia ili kuachana na uchawi na akili za fulani kanifungulia.
Biashara za misosi kitaalamu tunaita kemia ndio maana mtu anaweza kujua hii Pepsi na hii...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es Salaam na Visiwa vya Zanzibar kuwa kumetokea hitilafu ya dharula ya kiufundi katika moja ya...
."Usijenge maisha ya kuonekana vizuri mbele ya watu, jenga maisha ambayo yatakufanya ujiheshimu ukiwa peke yako."
1.Jifunze kila siku — mtu anayekua kila siku hawezi kubaki sehemu moja.
2.Chagua...
Fishtail palm, unaojulikana pia kama mtende wa mkia wa samaki kwa sababu majani yake yanafanana na mkia wa samaki.
1. Uainishaji wa kisayansi
Ufalme (Kingdom): Plantae
Mgawanyiko: Angiosperms...
Mtu anapoona hoja yake haikubaliki, badala ya kujibu hoja huanza kusema 'hujui kitu', 'huelewi', au maneno mengine ya kudhalilisha pia kuuliza maswali nje ya hoja kufanya mjadala kupoteza uelekeo...
Yaani ni binadamu pekee anaye weza kufanya kitu kile kile kwa zaidi hata ya miaka 50..
Chukulia mfano waajiliwa,
Yaani mtu unarudia kufanya kitu kile kile kwa zaid ya miaka 40 bila kukinai...
Baada ya kifungo cha zaidi ya mwezi moja, Mtandoo wa Tiktok umefunguliwa rasmi na mtumiaji anweza kutumia bila kutumia njia mbadala kama matumizi ya VPN...
Habarin wana JF
Naomba nieleze kidogo changamoto yangu iliyonikumbuka Wenda Kuna wajuzi wanaweza nisaidia ndani humu.
Mwezi wa tano nilisafiri kwenda mkoa kwaiyo nilikuwa na pkpk ambayo ilikuwa...
Wanaofatilia makala kipindi cha utawala wa Idd Amin nchi ya Uganda.
Utaona kabisa matendo yanayofanyika hapa Tanzania ni kama yale ya Uganda.
Utekaji wa wazi, ufisadi wa kitisha, uchawa wa...
Nchi hii tumepewa vingi sana lakini hatujui thamani yake, majirani waliopewa kidogo wanafanya jitihada zote kupata maximum benefits.
Hapa kwetu mzungu anatua KIA Arusha na wengi destination yao...
Mimi nilikopa pesa kwa mtu wa kawaida, si taasisi. Nilivyochelewa kulipa nikagundua kuna watu kudai ni kipaji walichozaliwa nacho! Simu ikilia moyo ulikuwa unaenda kasi, Notification ikingia, hata...
Mzee kiduku kaona makombora hayalipi kwenye kuuza wala kuingilia ogomvi.
Sasa kaja simu janja zake .Najiuliza hizi smart phone zake zinanyima uhuru wa habari usije shangaa nchi za maditekta...
Harakati zinazofanywa na Padre Charles Kitima hivi sasa nchini Tanzania zinaibua maswali mazito ya kisheria na kimaadili ndani ya Kanisa Katoliki.
Ifahamike kuwa Kanisa Katoliki duniani kote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.