Mwl Mwakujonga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 371
- 736
Mara baada ya kumpa Yesu Kristo Maisha yangu kuwa Bwana na Mokozi wa Maisha yangu, ndani yangu kiu ya kutaka kumjua Mungu ilizaliwa ndani yangu
Kiu ile ilikuwa kubwa sana kiasi kwamba nilijikutana tu, natamani kumjua Mungu binafsi kama Bwana na mokozi wa maisha yangu
Nilianza kusoma biblia kama mtoto mchanga kwa mara ya kwanza niliweza kusoma biblia kuanzia kitabu cha Mwanza hadi ufunuo kwa kipindi kifupi sana.
Niliporudi nyumbani Niliendelea na kiu yangu ya kumtafuta Bwana kadri siku zilivyokuwa zinaendelea kiu ya neno la Mungu ilikuwa inazidi kuongezeka siku moja mama yangu akaniuliza kwa uzuni unataka kuwa mchungaji?
Nilijua mawazo ma hofu ya mama yangu juu ya hatima yangu lakini mimi nilikuwa na kiu tu ya kumjua Bwana sikuwa na kiu ya kufanya chochote zaidi ya kumjua Mungu
Miaka ya mwanzo ya wokovu nilifanikiwa kusoma biblia mwanzo hadi ufunuo zaidi ya mara 5 , ila sasa imekuwa changamoto hata mara 1 kwa mwaka,?
Mungu atusaidie , ninachotaka kukwambia Mtumishi Mwenzangu raha iliyoko ya kukaa na Yesu ni kusoma Neno la Mungu
Kwa sababu Mungu akitaka kusema na sisi anatumia neno lake, unaskia mstari wa biblia moyoni mwako au maneno kutoka katika kitabu
Kuna watu kutokana na kutokujua biblia wanasema nchi haiwezi kukombolewa kwa maombi, nawakimbusha tu wakasome biblia vizuri kuanzia mwanzo hadi ufunua Mungu amesema juu ya ukombozi wa taifa , Isreali ilikuwa familia kabla haijawai taifa , kwa hiyo Mungu amesema sana kuhusu taifa
Pilia ukitaka kujua uongozi na hatima yake kasome kitabu cha waamuzi, wafalme na mambo ya nyakati na Daniel kuna mambo mengi Mungu amesema juu ya taifa
Hata leo hii ukiomba juu ya taifa lako , Mungu atakupa neno lake kutoka katika biblia atakupa majibu juu ya kile unacho omba
Kitabu cha habakuki alikuwa ni mwombaji kwa ajili ya taifa lake, lakini mwanzoni alianza kulalamika juu ya hali aliyokuwa anaiona katika taifa lake, ila Mungu aliposema naye juu ya mpango wake juu ya nchi yake aliingia katika Maombi ya toba ili Mungu awarehemu watu wake
Wapendwa tuendelee kuomba kwa ajili ya taifa letu, tusikatishee tamaa na wale ambao hawamjui Mungu, maana wengine wanafikiri Mungu ni kwa ajili ya kuponya Magonjwa na mapepo tu, na mengine siyo ya Kwake, na kusahau kwamba mbingu na nchi zote aliziumba yeye.