Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa maslahi mapana ya uanaume ,dini bora ni uislamu, na mafunzo yake. Kwa kuokoa kizazi hiki uislamu unapaswa uwe kwa kila jamii na sheria zake kamilifu. Dunia ya sasa hii ndio dini dume...
2 Reactions
6 Replies
42 Views
Wanawake wa kichaga ni matatizo matupu. Kwao kila mtu ni buzi wa kuchunwa na kuwapelekea ndugu zao wavivu wa kutafuta. Matokeo yake watu wanaishia gerezani kwa mauaji. Dawa ni kutowaoa kabisa...
1 Reactions
5 Replies
113 Views
Wakuja town wanatafuta kazi badala ya kutafuta PESA. Hawajui kupata kazi ni kazi sana kuliko kupata pesa. Wengi hapa mjini wana pesa ndefu lakini hawana kazi/ajira SHTUKA.
5 Reactions
21 Replies
165 Views
Miaka imesonga sasa badilisheni baadhi ya mambo muendane na ulimwengu wa kidigitali mambo kama; 1. Mwenge wa uhuru na kuwatoa wanafunzi mashuleni na kuwapanga msululu yamepitwa na wakati 2...
3 Reactions
7 Replies
73 Views
Wakuu, kuna jambo nimekuwa nikilitafakari sana. Katika maisha haya tunahangaika kutafuta pesa, heshima, mali, nafasi na kutambulika. Tunajenga nyumba, tunanunua magari, tunatafuta followers na...
42 Reactions
250 Replies
1K Views
Kama kuna mtu kamaliza secondary 2022 naomba tujuane tafadhali Mimi naitwa YAHAYA FADHILI HUSSEIN. kama kuna mtu yoyote kamalliza secondary huo mwaka apo.. Hapa naongea na GENERATION Z ...🙏🙏🙏😁😁
2 Reactions
10 Replies
87 Views
1. Usisafishe mikono yako kwa asali na chumvi dakika chache kabla ya mtoko wa kimapenzi (date), Chumvi huondoa uzito wa siku nzima kwenye ngozi yako, na asali huacha utamu ambao watu wataugundua...
28 Reactions
149 Replies
2K Views
"Mmeona yule mtu anaitwa Wicknell Chivayo huyu wa Zimbabwe. Maisha yake aliyokuwa anaishi ni kama vile hatakufa. Alitaka kuja kwenye mkesha ambao tulikuwa nao juzi, mimi ndiye nilikataa. Walipiga...
7 Reactions
83 Replies
1K Views
Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kasulu imetoa taarifa ya mgawanyo wa fedha kutoka Serikali Kuu.
1 Reactions
6 Replies
78 Views
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la wanaume kupoteza thamani zao, kisa Wali date na kuoa wanawake wajinga. Mr kweka tayari anaingia hatiani na kuteswa watoto wake kisa mwanamke mpuuzi. Unajua kuna...
28 Reactions
95 Replies
872 Views
Wakuu, nimekaa nikafikiria jambo hili kwa muda. Kuna watu ukiwaangalia unaona kama maisha yao yamesimama. Umri unaenda, marafiki wanaendelea, wengine wameoa/kuolewa, wengine wana kazi, biashara...
3 Reactions
4 Replies
59 Views
Katika ulimwengu wa sasa wa siasa na mitandao ya kijamii nchini Tanzania, neno "Chawa" limeacha kuwa jina la mdudu tu anayetafuta hifadhi kwenye usafi duni. Leo hii, ukiwa na uwezo mkubwa wa...
0 Reactions
8 Replies
51 Views
Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kasulu imetoa taarifa ya mgawanyo wa fedha kutoka Serikali Kuu.
0 Reactions
3 Replies
43 Views
Naona watanzania hamko serious kabisa na rasilimali zenu, kwakuwa Samia amesema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake, mimi nataka kuwa dalali wa rasilimali za nchi. Nawezaje kuanza kuwaleta...
1 Reactions
9 Replies
81 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia Wakili Keneth Roja Nkiko, mwenye umri wa miaka 28 na mkazi wa Mwigobero, kwa tuhuma za kumuua Magreth Hamisi Richard, mwenye umri wa miaka 22, mkazi wa...
10 Reactions
196 Replies
3K Views
Kuna vitu ukivipoteza, huwezi kuvipata tena hata ukiwa na pesa. Wakuu, nimekuwa nikifikiria jambo hili. Maisha yanatufundisha kucheza na vitu vingi kwa sababu tunaamini vinaweza kurudi. Pesa...
6 Reactions
80 Replies
571 Views
Matukio ya kikatili na ya mauaji yanazidi kuongezeka. Visa ni vingi sana. Kuwa na mali na uwezo wa kiuchumi ni vizuri sana ila visigeuke kuwa tishio la uhai wako. Tamaa zinawamaliza wengi. Ndio...
5 Reactions
11 Replies
76 Views
WATU WAPUNGUZE KUJITOA KUPITA KIASI KWENYE MAPENZI Kuna watu wamefikia hatua ya kujiua au kuuana kwa sababu ya mapenzi. Lakini ukweli ni kwamba binadamu si wakamilifu, na hakuna anayehakikishiwa...
4 Reactions
19 Replies
98 Views
Kama unafikiri wewe ni mdogo sana kiasi cha kutoweza kuleta mabadiliko au athari duniani... jaribu kulala chumba kimoja na mbu mmoja tu!" — Dalai Lama. Hebu fikiria hili: Binadamu ana uzito wa...
4 Reactions
6 Replies
44 Views
Back
Top Bottom