American nigga
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 902
- 1,541
Hello wakuu kama wewe ni mtaalamu wa Pyhon, java-script na kutengeneza Apps nicheki haraka iwezekanavyo. Jambo la msingi ni kuwa anahitajika mtu anaejua codes na mifumo sio mtumiaji wa AI
Asante mkuuMtihani wa practical ndio suluhisho, ukimpata mpe live coding test au task ngumu ya hapo hapo uone kama anaelewa logic au anakariri.
Bei yako sh ngapi tufanye kaziBut wataalamu ni wachache sana sijui kama nitafanikiwa
Pambana na AI tu! Huitaji mtu yeyote ni wewe mwenyeweHello wakuu kama wewe ni mtaalamu wa Pyhon, java-script na kutengeneza Apps nicheki haraka iwezekanavyo. Jambo la msingi ni kuwa anahitajika mtu anaejua codes na mifumo sio mtumiaji wa AI
Niko hapa, je malipo yapoje? Kwa project, kwa mwezi ama vinginevyo?Hello wakuu kama wewe ni mtaalamu wa Pyhon, java-script na kutengeneza Apps nicheki haraka iwezekanavyo. Jambo la msingi ni kuwa anahitajika mtu anaejua codes na mifumo sio mtumiaji wa AI