Msituletee utapeli wa kutubebesha marouter mpeni mtu unlimited kwenye simu yake

Msituletee utapeli wa kutubebesha marouter mpeni mtu unlimited kwenye simu yake

bikira latifah

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2016
Posts
836
Reaction score
2,805
Hii nchi bwana mitandao ya sim kwa sasa kila mtu anauza router wanaita unlimited router lina kilo 3 ukinunua hiyo ndio wanaanza kukuuzia bando kuanzia 70000 kwa mwezi unlimited

Sasa nikawauliza so ninunue huo mzigo niwe naubeba mgongoni mda wote au niwe nauacha sehem moja tu?

Nikawauliza kulikuwa na ugum gani mtu kuwa na bando la unlimited moja kwa moja kwenye sim yake why mlazilmishe kununua hayo makopo
 
Una uhakika siyo kwa ajili ya matumizi ya nyumbani? Hata majuu zipo ila watu wanaziacha nyumbani. Wewe ni nani alikuambia ni za kubeba muda wote? Kama simu hazina huduma ya unlimited, haimaanishi hizo router ni za kubeba kwa kuwa zina huduma ya unlimited.
 
Kuna tangazo nilisoma maeneo limesema hizo wifi sijui luta, ni bora kuliko vifurushi vya kawaida.
Eti vina kula hela nyingi.
Wanatangaza hivo lakini hawafuti vifurushi vya kawaida!
Nikashangaa, nikasema ina maana wapishi wameleta tembele, wakaweka mezani tule, kisha wakaleta nyama, wakasema "nyama ni bora kuliko tembele" wakati wanasema hivo tembele wameacha mezani badala ya kwenda kumwaga.
 
Lakini kuna teknolojia ya tethering kwenye smartphones ina uwezo ya simu yako kuhudumia zaidi ya mtumiaji mmoja. Utakuta ni dili tu la JK, Abdul na Rostam kwasababu hawa watu ni walafi hawatosheki.
Kwa hiyo ukiondoka nyumbani mpaka wakusubiri urudi au ununue simu nyingine ya kubaki nyumbani? Hujafikiria kama kuna wanafunzi ,ndugu wapo nyumbani wanahitaji internet.
 
Kwa hiyo ukiondoka nyumbani mpaka wakusubiri urudi au ununue simu nyingine ya kubaki nyumbani? Hujafikiria kama kuna wanafunzi ,ndugu wapo nyumbani wanahitaji internet.
Ukiondoka nyumbani wewe utatumia internet Gani huko uendako. Au haujafikiria kuwa hata wewe unatoka nyumbani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom