Baadhi ya mambo ambayo watu hufanya ni:
Kutembea au kufanya matembezi mafupi kwa mwanga wa mwezi (mahali salama).
Kupiga picha za mwezi na mandhari ya usiku.
Kupiga kambi au kutazama nyota...
Jamani nimepata msiba nipo Shinyanga natakiwa kwenda Moshi, nina elfu 30, kama kuna mtu ana private car anaelekea Moshi naomba msaada tafdhari
Namba yangu ni 0672901144
Watu washamegewa fungu wakamat vijana kwa wingi zaidi.
Hawa wataenda kusafisha mapori yaliyonunuliwa na vibopa na kupiga Jembe kwa muda usiojulikana.
Huku upand wa pili ageni nao wananunua...
AJALI NILIYOIPATA NJIANI: SOMO KWA MADEREVA WOTE
Utangulizi
Tarehe 15/06/2026 ni siku ambayo sitaisahau kwa urahisi katika maisha yangu. Nilipata ajali ya pikipiki katika eneo la Butinzya nikiwa...
Kuna jambo ambalo kwa muda mrefu limekuwa likinisumbua.
Leo hii unaweza kupita barabarani ukakuta Kilimanjaro Company Ltd, Serengeti Traders, Simba Enterprises, Safari Logistics, Ngorongoro...
Mteja? wacha nikwambie maana yake.
Ukipiga simu halafu isipatikane si unajibiwa kuwa, "mteja wa simu unayempigia hapatikani kwa sasa." Sasa huko Kenya tangu zilipoingia simu za mkononi, mtu...
Heko kwako kiongozi mchapakazi, msema ukweli na mzalendo wa kweli wa nchi yetu, Tanzania, Daktari Mwigulu Nchemba.
Kila mahali unapopita tunakuelewa. Sisi wananchi, wakulima na wafugaji hatuna...
Watanzania wanatabia ya kunyoosha kidole aka askari kidole ili wajitenge au kuonesha wewe ni mpinzani wa CCM.
Haya sasa yanatokea kama watu kuvamiwa usiku wakijitambulisha polisi,wengine...
Kuna mwalimu mkuu wa shule x ya secondary kahama amekua na tabia za kuwatoza fedha ya dawati tsh themanini elfu 80000, kila mwanafunzi anayejiunga kidato Cha kwanza, mwalimu huyu hutumia vitisho...
Huyu jamaa nyimbo zake zinahamasisha vijana wafanye uhalifu Sasa kibaya wanafanya uhalifu huku wakiwa hawana bunduki yaani ni visu na bisi bisi Leo huku mtaani vijana wawili wamechomwa moto na...
Mtu mmoja wa jinsia ya kiume amekutwa amefariki dunia katika eneo la Mto Kijenge, mtaa wa Block J, kata ya Ngutoto, jijini Arusha.
Kwa mujibu wa mashuhuda, walipokuwa wakipita pembezoni mwa bonde...
Barua iliyosambazwa kuhusu kufungua Shule si sahihi ipuuzwe. Tunaomba Wadau wazingatie Kalenda ya Mihula ya Masomo kulingana na Waraka wa Elimu Namba 06 wa Mwaka 2025 ambao umeambatishwa.
Mimi mpaka sasa nimeshafika nchi hizi:
Ethiopia
Thailand
Timor-Leste
Indonesia
Myanmar
Singapore
Ufilipino
Msumbiji
Japan
Sasa ni zamu yako. Taja nchi ulizowahi kutembelea, iwe kwa kazi, masomo...
Umoja wa Ulaya umetangaza kiasi cha Mil 34 ili mtu kupata hifadhi kwao naona vyuma vimebana sana Ulaya.
Wale wazee wa kukusanya hela za donation (ToneTone) waendelee kukusanya maana sahz...
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Deogratius Mahinyila, amesema ni muhimu taarifa zote kuhusu mazingira ya kifo cha marehemu Maradufu kuwekwa wazi ili kuondoa sintofahamu. Mahinyila ameeleza kuwa...
Albert Chalamila, leo Julai 2, 2026, amezungumza na waandishi wa habari na kutangaza kuwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa imeandaa kampeni maalum ya upimaji wa afya na utoaji wa matibabu bure kwa wananchi...
Huduma za kibingwa na kibobezi za Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) zimeendelea kuvutia wananchi katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.