Katika vitu ambavyo huwa sijawahi kuvielewa ni mtu wa kawaida tena mvuja jasho tu kufunga safari kwenda kwenye maandamano ya timu ya mpira au paredi akitumia muda wake na gharama zake mwenyewe...
Katika siku za hivi karibuni, nimeona kipande cha video cha Mheshimiwa Zungu akizungumzia uhusiano wa watu wa dini mbalimbali nchini Tanzania. Alieleza kuwa amesoma katika shule ya Kikatoliki...
Raia wawili wa Tanzania, Paschal Nyanda (28) na Sanda Donald (24), wamekamatwa na Jeshi la Polisi nchini Malawi baada ya kukutwa wakimiliki US$1,141,215 (zaidi ya Shilingi bilioni 3 za Kitanzania)...
Vyombo vya ulinzi na usalama vikiendelea na doria kuhakikisha usalama Sikukuu ya Sabasaba Julai 7, 2026 mkoani Dar es Salaam kufuatia Maandamano yaliyopangwa kufanyika leo
Habari wakuu.
Hili jambo la kununua umeme halafu wanakata pesa bila kukwambia ni deni gani na ni kiasi gani, kwenu limekaaje?
Nimenunua umeme wa shilingi 2,000, lakini nimepewa umeme wa shilingi...
Kwa wale watu wa kusafiri safiri sana,
Kati ya mlima Sekenge uliopo Singida, mlima ulioua abiria kibao kwa ajali zake, yaani mkifika na basi mnasali kwanza. Enzi zile mkifika na basi abiria...
Wana JF tuweke utani pembeni kidogo.
Hapa kuna watu wanaendesha miradi mikubwa, wafanyabiashara, wakandarasi, wafugaji, investors na wengine wenye connection za hatari.
Mara ya kwanza unashika...
Katika maisha na pilikapilika za hapa na pale unaweza kufanya jambo flani la kushangaza baya au zuri watu wakawa wanakuteta je wewe ni uliwahi kukuta watu wanaokuzungumzia yani kukuteta...
Mimi ni Mwananchi kutoka Wilaya ya Kibaha Vijijini – Mlandizi, nina hoja moja kwa Wizara ya Afya kuhusu utaratibu wa kuandaa mwili wa marehemu ukiwa umeenda kuchukuliwa mortuary ili ukazikwe...
Nikiwa kama mwananchi wa kawaida ninaetamani kuona nchi yangu inakua na uongozi bora unaoweka mbele maslai ya wananchi, nimeshindwa kuelewa hiki kinachopangwa kwenda kutokea siku ya 7/7.
Natamani...
Kichwa kinajieleza hapo
Katika maisha
Unaweza kuishi na watu
Tofauti ila
Miongoni mwa hao watu
Kuna watu
Ambao ni marafiki zako
Wengine
Wakawa adui ndugu n.k
1 SWALI:uliwahi kuchukiwa na mtu...
Mimi ni boss wa Jf kazi yangu ni kutoa assignment and get things done.
1.Nitapost kitu nisubirie responses kwa watu(Business plan in action)
2.Maudhui yangu ndiyo yataamua wachangiaji(Business...
Mtu wa Sura Mbili ni nani?
Ni mtu mwenye maisha ya aina mbili. Uso mmoja wa kuonyesha watu, na uso mwingine wa kweli anaouficha.
Mbele ya watu ni malaika. Maneno yake ni kama asali. Anaweza...
Habari ya uzima, ni mimi mwananchi kutoka Kibaha Maili Moja, Mtaa wa Muheza, mtaa wetu wa kwa Mbonde Msikitini hatupati maji kwa wiki mbili sasa na tukiwapiga DAWASA Kibaha wanadai presha ya maji...
Mimi ni Mwanakijiji cha Usagara A, Kata ya Usagara, Wilaya ya Misungwi Mkoa wa Mwanza, katika kitongoji changu tumewekewa dampo kwenye makazi ya watu, pia wanachoma taka na kuleta moshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.