Sikio la muazini
JF-Expert Member
- Jun 17, 2026
- 248
- 469
Kichwa kinajieleza hapo
Katika maisha
Unaweza kuishi na watu
Tofauti ila
Miongoni mwa hao watu
Kuna watu
Ambao ni marafiki zako
Wengine
Wakawa adui ndugu n.k
1 SWALI:uliwahi kuchukiwa na mtu bila sababu au unachukiwa bila sababu
2 SWALI:ni zipi sababu za mtu kukuchukia bila sababu yeyote inaweza hata ukawa mgeni eneo flani ila ghafla watu wa pale wakawa na chukia na wewe...!
SHARE:hapa ilikuaje?
NAWASILISHA