Wazo kwa Serikali ya Tanzania: Tuwe na App Moja ya Kitaifa ya Kuripoti Changamoto za Wananchi
Teknolojia imebadilisha namna serikali nyingi duniani zinavyowahudumia wananchi.
Nchi kama...
Mk 9:38 SUV
[38] Yohana akamjibu, akamwambia, Mwalimu, tulimwona mtu akitoa pepo kwa jina lako, ambaye hafuatani nasi; tukamkataza, kwa sababu hafuatani nasi.
Wanafunzi wa YESU walijisikia...
KUZAMA SIYO KWENYE MAJI TU
Tunaposema mtu amezama, mara nyingi tunafikiria amezama kwenye mto au bahari
Lakini katika maisha, kuna kuzama kwa aina nyingi
Wengine husema, Nimezama kwenye penzi...
Mi bado na mashaka na hii elimu yetu inavyoelekea wala sio kwa ubaya.
Kila mwaka kasi ya ufaulu inaongezeka basi ingetupa chanya ya hawa wafauli kila siku idadi yao ikiongezeka kuona mfano kama...
CHAUMMA wanalalamika Salum Mwalimu kawaibia mabilioni, najiuliza waliyapata wapi hayo mabilioni? Au ni malipo ya ule mradi wao na CCM, huyu Mwalimu ndio swahiba wake DJ na hii ndio ilikuwa michezo...
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Mhashamu Askofu Wolfgang Pisa OFMCap. Amemteua Dkt. Sr. Alicia Massenga wa Shirika la Moyo Safi wa Maria Morogoro, Mgolole kuwa Mkurugenzi Mkuu wa...
Kuna mama Arusha maeneo ya Philips, Mtaa wa Kimandolu na Mt. Meru Hotel (Sekei) inasemekana anachangamoto ya afya ya akili amekuwa akirusha mawe kwenye magari na kusababisha uharibifu mkubwa sana...
Kwa miaka mingi tumekuwa tukifundishwa kwamba mafanikio yana formula moja tu. Soma kwa bidii, pata kazi, kuwa na nidhamu, vumilia kwa miaka mingi, halafu siku moja utafanikiwa. Ukweli ni kwamba...
Hakika leo ndo kipomo halisi cha kuonesha ya kuwa sisi si watu wa kawaida....
Leo afe kipa afe beki lazima goli zifungwe tu, tuwadunge midomo hawa wadharau miba. Haitakuwa kazi nyepesi ila moto...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima...
Naibu Waziri wa uchukuz, Mhe. David Kihenzile, amesema Reli ya Kisasa (SGR) inaendelea kuwa kichocheo muhimu cha biashara, uchukuzi, miundombinu na ukuaji wa uchumi kwa kuwezesha usafirishaji wa...
Na Mwandishi Wetu
Katika kuadhimisha Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), Meneja wa Vodacom Tanzania Foundation Sandra Oswald amesema taasisi hiyo inaendelea...
Wataalamu wa afya nchini wametakiwa kutumia mitandao ya kijamii kutoa elimu sahihi kwa wananchi na kutowaachia watu wasio na utaalamu, kuendelea kusambaza taarifa zinazoweza kupotosha kuhusu...
Ndugu zangu, baada ya kadhia ya Oktoba 29, ilianzisha wizara itayodili na masuala ya vijana tu. Sote tuliona waziri mwenye dhamana kuzunguka baadhi ya mikoa na kukutana na makundi mbalimbali ya...
Nimemsikia waziri mkuu Kassim Majaliwa Juzi akiwa Shauri vijana wenye shahada za vyuo vikuu lakini hawana ajira wajiunge na vyuo vyetu vya Veta ili kujifunza SKILLS mbali mbali.
Nimesoma pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.